Na utajihakikishia vipi kwamba hakucheat? Dawa ni kujiandaa tu kwa loloteKwahiyo hela zako unazigawa kwa mchepuko zangu ndo tugawane?
Ukitaka ule hela ya mwanamke basi ajue huwezi kumcheat.
Ila ukiwa burudani kwa wote Azam tv tulia dawa ikuingie.
Bora kujiandaa kwakweli!Na utajihakikishia vipi kwamba hakucheat? Dawa ni kujiandaa tu kwa lolote
Ni mwanamke mpumbavu tu ndio atabomoa ndoa yake bila kutumia hekima!Ndio maana nikasema wapo baadhi wamenyooka ila wengi wao wanahamasishana ujambazi tu, unakuta mtu hata hajawahi kuwa ndoani ila anamshauri wenzake wa ndoani , utasikia
"shoo huyo mume wako fanya mpango umdange"
Ni ujambazi tu na kubomoa familia yako kwa ushauri wa kigoigoi
Polygamy ndio mwanaume anakuwa na tamaa au nayeye anakuwa amekuchoka?🤔Mwanaume ku cheat ni tamaa tu ila mwanamke ku cheat ni baada ya kupoteza upendo na heshima kwa mume wake ndio maana ugomvi unakuwa mkubwa sana. Lakini pia polygamy ndio nature ya viumbe wote duniani, dini na maendeleo ndio vilisababisha mambo kubadilika.
wtf, mume anadangwa na mke!😁Ndio maana nikasema wapo baadhi wamenyooka ila wengi wao wanahamasishana ujambazi tu, unakuta mtu hata hajawahi kuwa ndoani ila anamshauri wenzake wa ndoani , utasikia
"shoo huyo mume wako fanya mpango umdange"
Ni ujambazi tu na kubomoa familia yako kwa ushauri wa kigoigoi
Wanataka kukosa kwao tangu utotoni kutatuliwe na mtoto wa mwanamke mwingine😹😹😹😹 Hivi kwanini inakuwa hivyo?
Polygamy ni msaada kwa wanawake,kutiwa tu bila kuolewa leo na mudy buguruni,kesho filipo kigamboni,euphrase masaki mpaka mashavu yanalegea,huumizaPolygamy ndio mwanaume anakuwa na tamaa au nayeye anakuwa amekuchoka?🤔
Kubomoana vikojoleo wala sio tatizo , ila hii ya ujambaz ni mbaya mno ,Mwanaume ku cheat ni tamaa tu ila mwanamke ku cheat ni baada ya kupoteza upendo na heshima kwa mume wake ndio maana ugomvi unakuwa mkubwa sana. Lakini pia polygamy ndio nature ya viumbe wote duniani, dini na maendeleo ndio vilisababisha mambo kubadilika.
Unaweza kukuta ana kibenteen tuBasi huyo mchepuko kazi anayo!
Polygamy sio suala la tamaa tu au kuchoka, refer Wamasai au Waislamu wanavyokuwa na wake wengi na wanawahudumia wote kimiwili kwa zamu.Polygamy ndio mwanaume anakuwa na tamaa au nayeye anakuwa amekuchoka?🤔
Wanaotoa ushauri mtu uharibu ndoa yako wao wenyewe ndoa wanazitaka. Tukiwa nao wanajifanya superwoman wakiwa peke yao wanalia nitaolewa lini🤣Ni mwanamke mpumbavu tu ndio atabomoa ndoa yake bila kutumia hekima!
Hao dawa yake ni kumkubalia unafanya kinyume chake!
View attachment 3592200
Nachukia sana hizi hamasa za kudanga wanaharibu soko la wanawake ambao ni official kwa kazi ya kuuza bwasheeHwtf, mume anadangwa!😁
Wakati huo babake katulia binti yake yupo kucharika kuiaibisha familia 😹😹Wanataka kukosa kwao tangu utotoni kutatuliwe na mtoto wa mwanamke mwingine
Binafsi familia ni kitu kizuri ile baba,mama na watoto sema watu wachache wanafanya ionekane haina maana.Nachukia sana hizi hamasa za kudanga wanaharibu soko la wanawake ambao ni official kwa kazi ya kuuza bwashee
Kuna tofauti kubwa ya kuhudmia familia na kununua mbususu bwashee
X wife wangu , mambo ya ujambazi ndio yalisababisha nikakimbia mwendo wa ngiri mkia juu ,ila kwenye mambo mangine tulikua familia ya kuigwa ,ujambazi kwa jina la kuhudumiwa , kimbia uvunjike mguu.Binafsi familia ni kitu kizuri ile baba,mama na watoto sema watu wachache wanafanya ionekane haina maana.
Mwisho wa siku wanaoteseka ni watoto
Hukuwa na michepuko?X wife wangu , mambo ya ujambazi ndio yalisababisha nikakimbia mwendo wa ngiri mkia juu ,ila kwenye mambo mangine tulikua familia ya kuigwa ,ujambazi kwa jina la kuhudumiwa , kimbia uvunjike mguu.
Unatafuta maisha huo upwiru wa kuruka ruka utokee wapi?Hukuwa na michepuko?
Nipe namba yake nikampige makofiiUnatafuta maisha huo upwiru wa kuruka ruka utokee wapi?
Mke wako akisha kuwa na genge la wanaoitana shoo , jua basiii😅Ni mwanamke mpumbavu tu ndio atabomoa ndoa yake bila kutumia hekima!
Hao dawa yake ni kumkubalia unafanya kinyume chake!
View attachment 3592200
Wanawake wowote ukishasikia wanaitana shoo, shosti au shoga angu basi ujue uwezekano wa kutokuwa mabumunda ni mdogo sana.Mke wako akisha kuwa na genge la wanaoitana shoo , jua basiii😅