Yani badala mtu akusaidie jinsi ya kutatua tatizo anakimbilia kukwambia uondoke sasa sijui uende kwake😅Wanaotoa ushauri mtu uharibu ndoa yako wao wenyewe ndoa wanazitaka. Tukiwa nao wanajifanya superwoman wakiwa peke yao wanalia nitaolewa lini🤣
Nimuachie naniiiiiiiiiiiiDr. Mariposa umeacha kusagana?
Jichanganye na ma shoo, uone utavyo ambukizwa ugonjwa usiotibikaNitag huo uzi
Tunaongea kutokana na yanayotokea sana kwe jamii.
Binafsi mimi mtu wangu kanyooka hana vipengele so ikitokea changamoto za kiuchumi au kiafya lazima niwe nae bega kwa bega.
Ndoa zilizonyooka bado zipo🥂
Vijana wengi wanasingizia kataa ndoa ila ukweli ni kwamba hawana pesa za kuhudumia familia.
Mtu anapokea mshahara laki 7 (huu ndo ukweli bongo watu wengi mshahara laki 7) anaendesha gari bovu kila siku garage hela ya kuhudumia familia atatoa wapi?
Akili za kuambiwa changanya na zakoJichanganye na ma shoo, uone utavyo ambukizwa ugonjwa usiotibika
HmmmmPolygamy sio suala la tamaa tu au kuchoka, refer Wamasai au Waislamu wanavyokuwa na wake wengi na wanawahudumia wote kimiwili kwa zamu.
Wanaendekeza luxury life au kazikazi?Watu wauza genge, wapiga debe, waendesha guta, kipato chake kidogo chini hata ya iyo 700k, na ana ndoa imetulia, wanaweka mpunga mezani, wanapanga bajeti pamoja. Mke anauza mkaa, au anachoma maandazi, wanaishi kwa maelewano na bila hila. Mke ni "Mindset" yake.
Swali kwako binafsi; Kwa mtazamo wako 700k, mtu hawezi hudumia familia?
Mfano mzuri ni wali mweupe, pilau na biriyani.
Sijui wanatoanaga wapi, heri mimi ninaeshinda zangu jf 24/7😁Mke wako akisha kuwa na genge la wanaoitana shoo , jua basiii😅
Angalia usije ukafa singo.Mimi ndo yule sasa mwanamke KIGEGO ambaye sipendi kutegemea pesa ya mwanaume kuendesha maisha yangu..!!
Hata muda wa kuomba penzi lazima ujitafakari mara mbili kama unastahili kupewa..!! 😹😹😹
Angalau umeonekana, nishaanza kuwa na wasiwasi.😹😹😹😹 Hivi kwanini inakuwa hivyo?
Jambazi mpe pesa akushikie , kuna familia nyingine mama ndio mhasibu , mipango ya matumizi yote ya pesa za familia anafanya yeye , mzee anatoa tu fungu kwa bajeti iliyotoka kwa mama , hii mzee wangu aliifanya kwenye familia yake .Akili za kuambiwa changanya na zako
Ni kweli Mangi.Hahaha wapo bwashee , tatizo mnakomaa na hawa wa mjini , nenda huko kibondo, Busagara kigoma , tafuta mtoto wa kiha , mpe mtaji wa laki tatu tu afungue genge , wewe pambana kivyako , ukipate kipesa mtupie afuge kuku, baada ya miaka mi 5 tu, anakufanya unakua na uhuru wa kipato
hermaphroditeNimuachie naniiiiiiiiiiii
Kuna ma shoo wana sumu hatari hasa wale wembamba na vishingo vyao kama ndege john🚮Sijui wanatoanaga wapi, heri mimi ninaeshinda zangu jf 24/7😁
Hata tukija hivi hamtutakii??🫢Vijana washasanukia huu mchezo, hakuna kumwaga wino; hakuna kuvisha pete, wanakutana kimjini mjini, wanaachana kimjini mjini. 😊
Kama nawaona broke guys wanavyokanyagana inbox kwako hahahaha, utapewa kila aina ya sifa ili mradi tu wapate kitongaMimi ndo yule sasa mwanamke KIGEGO ambaye sipendi kutegemea pesa ya mwanaume kuendesha maisha yangu..!!
Hata muda wa kuomba penzi lazima ujitafakari mara mbili kama unastahili kupewa..!! 😹😹😹
Ila kwa unafki😅Hata tukija hivi hamtutakii??🫢View attachment 3592249
Mahusiano yetu kizamani,, lakini kenge wangu pamoja na yote mapito ye anasimama katika ubaba.Kuna kisa leo dada alikisimulia humu walivyopitia changamoto na mhalifu wake na wakapambana nazo , ebe fikiria kama kungekua na jambazi katikati yao kama hiyo familia ingesimama 🤔@ephen_