Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mimi ndo yule sasa mwanamke KIGEGO ambaye sipendi kutegemea pesa ya mwanaume kuendesha maisha yangu..!!

Hata muda wa kuomba penzi lazima ujitafakari mara mbili kama unastahili kupewa..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Hao ndiyo wanawake wa shoka!
 
Jipangieni tuu umeme, maji, kulipia TV, Gas, chakula. Nani analipia nini. Na kuna maendeleo ya jumla Ada, ukarabati, ujenzi pia nani anafanya nini. Hapo nazungumzia ndoa siyo Gf/Bf.
Lakini hayo inategemea kipato chenu woote wawili.
Nani alipe nani kivipi kwani nimejioa? Hayo yote atayafanya yeye ayapange yapangike, mimi kazi yangu ni kupeleka list ya kila kinachohitajika kununuliwa, yes tutaishi kulingana na kipato CHAKE
 
Wanaendekeza luxury life au kazikazi?
Wana magari mabovu kila siku garage?

Nimezungumzia mshahara mdogo kuliko mahitaji

Wanafanya kazi, mshahara ukiwa mdogo kuliko mahitaji, ndipo hoja inakuja ya wewe (mwanamke) kuwezeshwa pia ili mpate kipato cha kukidhi mahitaji yenu.
Au kama wote mna mishahara, mchangie wote mahitaji! ๐Ÿ˜œ

Hili la kuchangia kipato kukidhi mahitaji ya nyumba, wewe unalionaje upande wako?
 
Yeah hii sio mbaya , ila majambazi hata kipindi kigumu yanapotea yenyewe yanatafuta sehemu ambapo tayari kimeiva tu na sio kushiriki kukipika .


Note: wauzaji nao siku hizi hawajipangi tena barabarani wamejificha kwenye mahusiano na kwenye ndoa kwa kigezo cha kuhudumiwa.
 
Thank you Leo Dada mitano tenaaaaaaa na hapo shemeji yetu hajawahi kulalamika hata siku moja anajua majukumu yake na yupo proud kuyatimiza, miaka buku kwenu๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ
 
Nalisupport! Kama hela ninayo siwezi kusubiri hata aniambie.
 
Kuchangia tunachangia kidogo tu ila sio kuadmit hapa๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ