Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Unajua km ulikuwa unasimama freshi na mke anakua up&down zako mbona anakubeba tuu mpk ushangae. Huwezi amini hata suruali na mashati anakutoa tuu akiona yamepauka
 
Usijimalize kwa mwanamke ukajisahau wewe!
 
Tajiri usiishi sana kwa kufauata watu wa "social networks".. ๐Ÿ˜Š
Kuna viini macho sana kwenye hizi social networks, hasa JF humu. Kuna mtu hana hata godoro lakini atakwambia unaishi kishamba. ๐Ÿ˜Š
Bwahahh umenikumbusha kuna fala mmoja juzi kati apa ananiambia anaweza kunilisha mwaka mzima, wakati kutwa analialia shida humu, ila watanzania kuna muda tunajishaau sisi ni masikini๐Ÿ˜
Basi sawa,
 
Wao wenyewe hawajui wanacho kitaka ndugu yangu
 

Je, what if kama hakuwa serious ila huu ulikuwa ni mtego tu ili aone utakuwaje siku ukishika pesa zako? ๐Ÿค”
 
Tajiri usiishi sana kwa kufauata watu wa "social networks".. ๐Ÿ˜Š
Kuna viini macho sana kwenye hizi social networks, hasa JF humu. Kuna mtu hana hata godoro lakini atakwambia unaishi kishamba. ๐Ÿ˜Š
Kwenye mademu sasa ndo balaa. Jf kila mtu anapiga pisi kali. Toto limenona, guu la bia, tako tako, yaani hakuna kipengere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ