Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
ila mwanetu, Kumlisha mtu kwa siku 365 na robo, haihitaji ukwasi mkubwa hivyo. Hata akina mimi wa chini ya dola 1 kwa siku we can afford it na tunalisha watu wa family zetu kwa dola 1 hiyo hiyo kwa 365.Bora hata angekuwa jamaa, mwenyewe kujilisha mpaka ajidhalilishe humu atanilishaje siku zote hizo! Ulishawahi kumlisha mtu siku 365? Au unafanya tu assumptions za kuandika!
$1?? Haya kila heri! Uzuri jf kila mtu anajiweza wacha tukae pembeni bwana!😅ila mwanetu, Kumlisha mtu kwa siku 365 na robo, haihitaji ukwasi mkubwa hivyo. Hata akina mimi wa chini ya dola 1 kwa siku we can afford it na tunalisha watu wa family zetu kwa dola 1 hiyo hiyo kwa 365.
inategemea na mlishwaji anakula nini na wapi.
Ikitokea atasaidiwa but sio Kila sikuKwahiyo wewe huwezi kumsaidia mwanaume majukumu hata kidogo
Humu omba omba naonaga ni mimi tu.Mbona ombaomba na wenye mishahara ya 250k wapo wengi sana humu 🤔
Mimi sijiwezi, nipo chini ya dola 1$1?? Haya kila heri! Uzuri jf kila mtu anajiweza wacha tukae pembeni bwana!😅
Wapi wewe ushasema hushindwi lisha mtu siku 365 tena na robo! Nipo apa najiandaa nije unilishe, ole wako!!😅Humu omba omba naonaga ni mimi tu.
Wengi wenzetu humu viji-milioni 5 au 9 sio shida zetu, Ni pesa ya wiki moja tu.
Mbona unaanza kukana tena mwanetu🤣Mimi sijiwezi, nipo chini ya dola 1
🤣 mwanetu, sijikani ila chini ya dola 1 ndo nilipo consistently.Mbona unaanza kukana tena mwanetu🤣
Basi utaanza kunilisha siku zilizobaki mpaka mwaka uishe😅🤣 mwanetu, sijikani ila chini ya dola 1 ndo nilipo consistently.
Hivi kwanini jf watu watu wanaodai wanajiweza mnawapiga vita😅$1?? Haya kila heri! Uzuri jf kila mtu anajiweza wacha tukae pembeni bwana!😅
Karibu, machimbo ya kupata miguu ya kuku nayajua, so nakuchapa na dona robo na mguu moja wa kuku. Jumla sh. 700/-.Wapi wewe ushasema hushindwi lisha mtu siku 365 tena na robo! Nipo apa najiandaa nije unilishe, ole wako!!😅
Karibuuuuu.Basi utaanza kunilisha siku zilizobaki mpaka mwaka uishe😅
🤣 tunaanza liniBasi utaanza kunilisha siku zilizobaki mpaka mwaka uishe😅
Nani kawapiga vita?Hivi kwanini jf watu watu wanaodai wanajieza mnawapiga vita😅
Siwezi mwaya🫢Karibu, machimbo ya kupata miguu ya kuku nayajua, so nakuchapa na dona robo na mguu moja wa kuku. Jumla sh. 700/-.
Maji ya kunywa utadownload.
Uzuri sijasema frequency ya meal.
So, ukila leo, tukutane keshoohooo, I suggest ule jioniiiii (mpakani mwa mchana na usiku)
Hivo hivo hadi 365 na robo ifike.
Basi hizi mbwembwe za kusema naweza kukulisha we na ukoo wako mziache please 😂Karibuuuuu.
Formula ni ile ile, kula ni dakika za jioooooooooni (katikati ya mchana na usiku).
Nauli, bando, n.k. hizo sitakupatia 😎, sabb mkataba ni wewe "ule" kwa siku 365 na robo.
Nimeghairi lol! Nilijua najitesa kumbe kuna mateso zaidi ya haya🤣🤣 tunaanza lini
Sio tu jf hata mtaani tusiojiweza tunawapiga vita waliofanikiwa kwasababu wengi wetu wanatamani waliofanikiwa wawe chini kama sisi.Hivi kwanini jf watu watu wanaodai wanajieza mnawapiga vita😅
ila wapo humu wanaojimudu na wanaweza hiyo.Basi hizi mbwembwe za kusema naweza kukulisha we na ukoo wako mziache please 😂