Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Wapo sikatai ila sidhani kama wanaweza kujiropokesha kama vichaa hivyo😁

Ila masikini mbwa sisi sasa🤡🤭
mara nyingi, wengi wenye pesa na discipline ni wale ambao fwezaa walizikuta kwa family na wamezizoea.

Mie siwezi kuwaahidi kwamba nikizipata nitatulia 🤓 Will keep the volume so high, so loud.
You know what I mean. YOLO!
 
😹😹😹 Nitaileta sababu mimi nataka sio kwasababu wewe unaitaka kwa kufidia pesa zako..!!
Ndio nyie mkipewa kwa stress za vizinga mpk mnawachana cumer mademu zenu..!!
Nyie wenyewe si ndio huwa mnaanza unasikia 'baby! usinionee huruma' , 'baby nit.....e' hapo unataka nifanye nini ... mtatulaumu bure tu..
 
Hawaamini ndio, wengi tumezungukwa na makapuku tu ila forum nzima wamejipata famchezo!!😅
Hahahahaha ,yeah naweza kuamini hilo , hii forum inajulikana na watu asilimia chache sana , yawezekana kuwa ni kweli wengi wao wanajiweza na ambao hawajiwezi wapo mbioni kujiweza
 
Hahahahaha ,yeah naweza kuamini hilo , hii forum inajulikana na watu asilimia chache sana , yawezekana kuwa ni kweli wengi wao wanajiweza na ambao hawajiwezi wapo mbioni kujiweza
Basi sawa tupunguze kudharauliana tu!

Makande yangu yameiva bwashee😅

Au matajiri hamlagi makandree🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…