Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #541
Anawachora tu hataki wenzie wamuibie, yeye aliolewa vipi na mume mwenye sura mbayaEeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"- Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dada
Mimi napenda sana kuhudumia mwanamke ninayempenda.Hahaha kumbe wanaona wanapita kama wanaaga maiti kumbe😀
Mbona wadada wengi tu wanaolewa na wanaume sababu ya hela, ila hawavutiwi kimapenzi na hao wanaume Dr. MariposaAnawachora tu hataki wenzie wamuibie, yeye aliolewa vipi na mume mwenye sura mbaya
Kwamba sisi ndio walalamikaji au sijaelewa😃Eeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"- Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dada
We’ve changed our minds!That era has already come to an end.
Mlitaka uhuru mkapewa.
Mlitaka 50/50 mkapewa.
Sasa kilicho baki ni kila mtu aubebe mzigo wake mwenyewe.
Kwa mwanaume kila kitu kinaeleweka. Twende na mfumo dume au usawa wa kijinsia mwanaume lazima alete kitu mezani. Kwahiyo shida sio mwanaume unaemuandama wewe. Shida ni mwanamke ambae bado hajajua achague kipi kati ya usawa wa kijinsia au mfumo dume for once and for all.Mwanaume ni provider period, mtazungusha sana kiswahili ila kama unataka mgawane majukumu ya bills na mkeo basi hiyo nyumba haitakua na heshima wala utii, siwezi kulipa ada za watoto au kodi kama tumepanga halafu nikupigie goti wakati nakutengea chakula hahaha
Sisi ndio hao wa mjini Instagram au 🤣Eeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"- Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dada
Utelezi ni hisia zako tu darling na utulivu wa akili sio kwasababu unatunzwa..!!ni kujifariji tu dear si unaona ukitunzwa vizuri utelezi unatoka sasa ukijifanya mwanamke wa shoka hata utelezi hakuna ina maanisha unakua una stress sana kwa kujiveka majukumu yasiyokua yako.
Hahahahaha
Utelezi ni hisia zako tu darling na utulivu wa akili sio kwasababu unatunzwa..!!
Kama juzi team yangu Arsenal imebeba ndoo ya EPL. Mara pap jana Nmb Katangaza gawio la 610.15 kwa kila hisa unafikiri utelezi utagoma hata mwanaume akisema hana pesa? 😹😹
Nyie utelezi wenu unasubiri mwanaume awape pesa. Hamuoni kama mnajinyima raha ya dunia?
Vip? Wewe kama mme wako atapiga chini kiuchumiNa huo ndio urijali, igweeeeeee igweeeeeee unapaswa kua mwalimu wa hawa wavulana wanaokimbia majukumu yao nakuegemea kwenye kivuli cha 50/50
AkoseHukuwa na michepuko?
Mwende mwezini msirudi tena huku, okay!!!Mimi ni Ke kwa Ke na inafanya kazi vizuri sanaaaaa hakuna makelele, mnapokua wawili lazima mmoja awe provider hamuwezi kua sawa na mkilazimisha usawa ndio mapambano huanzia hapo.
Lilifanyika kosa kubwa kuwaleta wanawake huku kwenye mambo mengine. Hawa walitakiwa kuishia jikoniWao wenyewe hawajui wanacho kitaka ndugu yangu
Uchumi wa kawaida wa watanzania wengi sio huo..Yani mwanaume awe na uwezo wa kumfungulia mke duka, saluni, mke aibe hadi ajenge kwao.. mume aajiri house girls wawili sijui, huyo ni katajiri kadogo ka hapo mtaani 🙃Uchumi wa kawaida tu wa watanzania wengi
Alipata dili la kufanya kazi UNUchumi wa kawaida wa watanzania wengi sio huo..Yani mwanaume awe na uwezo wa kumfungulia mke duka, saluni, mke aibe hadi ajenge kwao.. mume aajiri house girls wawili sijui, huyo ni katajiri kadogo ka hapo mtaani 🙃
Uchumi wa kawaida wa watanzania wengi unaujua au unausikia, unakuta familia nzima haina uwezo wa kupata laki 3 kwa mwezi ephen_