Kazi kufanya ni lazima sababu nina watu na mimi wananipiga vizinga ila hela yangu naitaka na yako naitaka pia.Bwashee , utapewa mtaji uzalishe ili uone kama pesa ni rahisi, yani hauwezi kufuga hata kuku ookote mayai ukayauze bwashee ?
Kwa nini usihudumiwe na wazazi wako?Wapo wanawake ambao hawaombi na hawataki hela ya mwanaume hivyo msiopenda kuombwa pesa mtawapata.
Binafsi usipojikuna unapoweza kwangu hilo penzi lazima life mapema tu.
Umenioa halafu nijihudumie mwenyewe tutakutana mahakamani kwenye talaka.
Mkuu unaweza kuthibitisha hiki unachokisema? Culture me na wanaume wapi na wapiIla kwenye ''Kukoboa'' wanawake huangalii kua hiyo ni kazi ya Mwanaume pekee.
Mbona ID ya Culture me huitumii tena?
Utakula hela zangu , ila nitakusend moshi ukafagie samadi na kukamua maziwa mpaka hela irudiKazi kufanya ni lazima sababu nina watu na mimi wananipiga vizinga ila hela yangu naitaka na yako naitaka pia.
Ukikwama tutatumia zangu ila ukiinuka tena lazima nikupige vizinga nirudishe hela zangu.
Mwanamke umemuoa bado ahudumiwe na wazazi wake?Kwa nini usihudumiwe na wazazi wako?
Sahihi! Sasa mimi nipe hata hela nishike niwe naiangalia nakua nasikia raha hata kama najua hii ni hela yetu tumechanga kesho tunaenda kununua tofali za ujenzi.Halafu hizo hela zako unakua unazitumia kwenye nini?
Kwenye ndoa hua hakuna hela zangu bali hua kuna hela zetu.
Wapi nimesema Culture me yupo na wanaume?Mkuu unaweza kuthibitisha hiki unachokisema? Culture me na wanaume wapi na wapi
Unalipiwa lunch na co-workers wako wa kiume kisa wewe ni mwanamke?! Hapo lazima kuna kitu utakuwa unawapa au wanategemea kutoka kwako, haiwezi kuwa hivi hivi tu au labda ni simps.Guys kuna raha kua Mwanamke na raha ya Mwanamke kuhudumiwa,
acheni sasa niwaambie mimi ni yule mwanamke hata nikipata mshahara sasa hivi, bado nitapiga simu kwa kaka zangu (wananipenda sana lastborn wao) wanitumie hela ya chips au icecream,
Siwezi kwenda lunch na kuna wanaume halafu mimi nilipe bill hata kama ni yangu, hapana nitatulia tuliii wanaume walipie,😐
Kuna siku ilikua lunch na co-workers sasa bill ilivyofika mdada mmoja naona anafungua wallet weeh acha nimpige kofi la bega, akashtuka nikamwambia "tulia ufurahie uanamke wako" akacheka akaweka wallet chini,🙃
Tukija nyumbani ndio kabisaaaa siwezi kubeba majukumu ya kununua chakula na kulipa bills, nope! labda kununua vitu vidogo vidogo kama chumvi na viberiti au snacks zangu, lol
Haya mambo ya 50/50 yaishie kwenye mabiashara hukooo ila kwenye mahusiano hapana jamani kila mtu asimamie majukumu yake yanayomuhusu, mimi jukumu langu ni kuleta utulivu, nuru na amani nyumbani,
Mtauliza sasa wewe mshahara wako unaufanyia nini sawa nitajibu, nanunua vitu vidogo vidogo kama mapambo ya ndani, kufix issues ndogo ndogo zitakazojitokeza na kuspend kwenye mambo yangu,🥰 wanawake tuna vitu vingi jamani na pesa kwetu haijawahi kutosha,😂
Ewe mwanamke unayejiita mwanamke wa shoka, unayevuja jasho na damu ili kuhudumia familia kwanza nakupongeza sana ila kama ukipata nafasi ya kufanyiwa jiachie ufanyiwe, Mwanamke ni pambo la dunia, kaumbiwa kutunzwa, kudekezwa, kupendwa, kubembelezwa, mwanamke anatakiwa awe laini laini sio wanaume wapo wewe mwanamke unabeba ngazi unaparamia ukuta kuweka umeme au unapanda kwenye stuli kufunga kamba za nguo jamani mtakuja kutenguka nyonga mshindwe kutoa raha kwa my zenu,🙄
Binafsi hizo 50/50 zenu pelekeni hukoooooooo mimi ni old school naelewa uanamke wangu unathamani kiasi gani.
Tchaooooo
Utapewa mtaji uzalishe pesa zako mwenyewe, dawa ya kukata kuombwa ombwa hela ni kumpa mtaji tu
Hujasema.. samahaniWapi nimesema Culture me yupo na wanaume?
Utawapata wanaotaka kuhudumiwa na wazazi wao na sio wewe.Kwa nini usihudumiwe na wazazi wako?
Labda wa kupiga na kupita ila mwanamke wangu wa kumuweka ndani, kigezo cha kwanza lazima awe na uwezo wa kuzalisha hata 5000 kwa siku na sio awe mtumiaji tuHii ni fact mkuu. Japokuwa hawa viumbe hata ukimpa mtaji bado ataendelea kukutegemea, kipochi chake anaficha. 😊
Hakuna ndoa, angalau ndoa ya maana ambayo wanandoa wanaombona ombana pesa, kuombana pesa ni kwa watu walioko kwenye dating au mahusiano ya kingono tu.Mwanamke umemuoa bado ahudumiwe na wazazi wake?
Tatizo la wanawake wengi ni Selfishness.Hii ni fact mkuu. Japokuwa hawa viumbe hata ukimpa mtaji bado ataendelea kukutegemea, kipochi chake anaficha. 😊
Labda wa kupiga na kupita ila mwanamke wangu wa kumuweka ndani, kigezo cha kwanza lazima awe na uwezo wa kuzalisha hata 5000 kwa siku na sio awe mtumiaji tu
Umemaliza mkuu. Mwanamke chake ni chake, cha mwenzie chake.Tatizo la wanawake wengi ni Selfishness.
Zamu ya wazazi imeisha🤣Kwa nini usihudumiwe na wazazi wako?
Sijajua boyfriend wako ni wa hadhi gani, kama ni tajiri au mwenye access ya pesa za walipa kodi wavuja jasho inaweza kuwa sawa wewe kudoea pesa zake ila kama ni mpambanaji anayejitafuta sio sawa kumpa mzigo wa wazazi wako wa kukulea.Utawapata wanaotaka kuhudumiwa na wazazi wao na sio wewe.
Uzuri mimi wangu anajua napenda pesa na atapita kusoma tu huu uzi.