Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

J
Umesahau kwamba Jf Kila mtu ana standard Kila mtu tajiri Kila mtu anakula KFC Kila mtu ana nyumba Kali na ana gari Kali

Kwa ground waweza kukuta hata huyo mwanaume tu wa kumjulia Hali asubuhi mchana na usiku Hana πŸ€£πŸ€£πŸ˜„
Njoo nikulipe basi uwe unanijulia hali tu😁
 
Kazi kufanya ni lazima sababu nina watu na mimi wananipiga vizinga ila hela yangu naitaka na yako naitaka pia.

Ukikwama tutatumia zangu ila ukiinuka tena lazima nikupige vizinga nirudishe hela zangu.
Hii biashara Ilibaki kidogo iuwe ndoa yangu ya miaka kumi iliyopita

Unajua nini sipendi viwavi Jeshi maishani
 
Ila niungame tu

Bado inalegalega toka yaliyitokea nipo kama mti wa pasheni bila sapota hautoboi

Toka hisia zangu za huruma zimetumiwa vibaya niko kama kasongo on mode

Sichelewi kuparura ntu🀭
Nini kilitokea kwani?
Alikufanyaje
 
Nini kilitokea kwani?
Alikufanyaje

Hebu jishikie bibie

Naanzaje kujimwaya humu vitu vinatia simanzi hata kwa ID fake unajikuta kama umejitaja 🀭

Ukitaka kujua zaidi na wewe olewa ndio Utajua kiwango cha Gubu langu mwanaume.!
 
Hebu jishikie bibie

Naanzaje kujimwaya humu vitu vinatia simanzi hata kwa ID fake unajikuta kama umejitaja 🀭

Ukitaka kujua zaidi na wewe olewa ndio Utajua kiwango cha Gubu langu mwanaume.!
Una mdomo sana!
 
Unalipiwa lunch na co-workers wako wa kiume kisa wewe ni mwanamke?! Hapo lazima kuna kitu utakuwa unawapa au wanategemea kutoka kwako, haiwezi kuwa hivi hivi tu au labda ni simps.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naomba namba yako, nikutumie muamala wa pole ya kuandika uzi mrefu. Ofa hii itakuwa hewani kwa masaa matatu tuu. Zaidi ya hapo lazima uikatikie mauno.
 
Kwa aina ya mindset yako salama yako ni kuwa na mwanaume mwenye kipato kikubwa ambaye angalau mshahara wake ni 3M+ au mfanyabiashara mwenye kipato kikubwa ambao kiuhalisia wapo wachache na wengi wao ni waume za watu au wanafamilia
unajua hii mada nimejiongelea mimi, nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote ya ndani amebeba yeye na hajawahi kulalamika, pia wewe unaongelea mahusiano ya gf na bf nimeona hata sehemu umemquote ephen_ kama vile yupo kwenye mahusiano ya gf na bf, hapana yupo kwenye ndoa na mada inazungumzia wanandoa sio hayo mahusiano yenu ya kihuni, upoooooooooπŸ‘Œ
 
Uzi umetembea huu, comments za makasiriko na maumivu, furaha na shengesha zote zimoo.

Nweiii basi sawaa.
Ni hawa hawa hua wanasema wanawake hawafai kufanya kazi wakae ndani kulea watoto, watarubuniwa blah blah leo hawa hawa wanataka wao na wanawake wagawane majukumu ya kulipa billsπŸ˜‚ wanaume wa jf ni kizunguzungu walai
 
Yaani hii yote ni kukana majukumu yako kama mwanaume, yaani mmefikia hatua hii ya kutaka kushindana kila kitu na mwanamke ama kweli wahenga hawajakosea kusema hiki ni kizazi cha nyoka, enzi hizo wanawake walikua wanafanya biashara na bado wanaume zao walikua wanaprovide kila kitu ndani bila kuguna wala kukasirika, leo wanaume wanataka wakae mezani na wake zao wapangiane nani ananunua nini, hiyo nyumba haiwezi kua na heshima wala nidhamu miaka buku, mnatia kinyaa kwa kukimbia majukumu yenu.
 
unajua hii mada nimejiongelea mimi nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote amebeba yeye na hajawahi kulalamika,
Sasa kama umeolewa na Mwanamke mwenzako,kwanini unasema ''Mwanamke kuhudumiwa'' kwani huyo anayekuhudumia yeye sio Mwanamke? au unafikiri baada ya yeye kukuoa wewe jinsia yake imebadilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…