The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho?nahudumiwa mimi mwanamke wapi sijaeleweka labda
Hawaelewi hao hata yoga nilimwambia tunaongelea wanandoa.unajua hii mada nimejiongelea mimi, nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote ya ndani amebeba yeye na hajawahi kulalamika, pia wewe unaongelea mahusiano ya gf na bf nimeona hata sehemu umemquote ephen_ kama vile yupo kwenye mahusiano ya gf na bf, hapana yupo kwenye ndoa na mada inazungumzia wanandoa sio hayo mahusiano yenu ya kihuni, upoooooooooπ
Kumbe na hujaelewa! Nilidhani sijaelewa pekee yangu.Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho?
Umesema upo kwenye ndoa ya jinsia moja,
Huyo anayekuhudumia,aliyekuoa,yeye jinsia yake sio Mwanamke?
Kujipa position kua yeye ndio kakuoa hakuibadili jinsia yake ya asili kua haya yeye ni Mwanamke,
Ndio maana hata wewe ukaiita hiyo ndoa kua ni ndoa ya jinsia moja,
Yani nyie wote wawili jinsia yenu ni moja,kitu gani kinakufanya wewe ujione kua ni Mwanamke na yeye sio Mwanamke?
Mmmhhπ·daaah mambo niπ₯ nachoka miye mjukuu wa clemenceπ§ββοΈunajua hii mada nimejiongelea mimi, nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote ya ndani amebeba yeye na hajawahi kulalamika, pia wewe unaongelea mahusiano ya gf na bf nimeona hata sehemu umemquote ephen_ kama vile yupo kwenye mahusiano ya gf na bf, hapana yupo kwenye ndoa na mada inazungumzia wanandoa sio hayo mahusiano yenu ya kihuni, upoooooooooπ
Sio kama wewe ndio una akili nyepesi kama unyoya? najiongelea mimi unaleta ya mwengine, ya kwake yanakuhusu nini hadi utake kuyajua, huo ni upeku peku na ufukunyuku ndio wanaume wa siku hizi mlichojaaliwa nacho.Mbona unakua na akili nzito kiasi hicho?
Umesema upo kwenye ndoa ya jinsia moja,
Huyo anayekuhudumia,aliyekuoa,yeye jinsia yake sio Mwanamke?
Kujipa position kua yeye ndio kakuoa hakuibadili jinsia yake ya asili kua haya yeye ni Mwanamke,
Ndio maana hata wewe ukaiita hiyo ndoa kua ni ndoa ya jinsia moja,
Yani nyie wote wawili jinsia yenu ni moja,kitu gani kinakufanya wewe ujione kua ni Mwanamke na yeye sio Mwanamke?
Hivi huyo Clemence bado yupo? sijamsikia kitamboooooMmmhhπ·daaah mambo niπ₯ nachoka miye mjukuu wa clemenceπ§ββοΈ
Bila shaka utakua na matatizo ya akili,Sio kama wewe ndio una akili nyepesi kama unyoya? najiongelea mimi unaleta ya mwengine, ya kwake yanakuhusu nini hadi utake kuyajua, huo ni upeku peku na ufukunyuku ndio wanaume wa siku hizi mlichojaaliwa nacho.
Naona km kapotea baada ya zile route za polisi.Hivi huyo Clemence bado yupo? sijamsikia kitambooooo
Chizi humjua chizi mwenzie, nikuambie tu acha umbea na ufukunyuku (kama ni mwanaume kamili lakini), jikite kwenye mada huna cha kuchangia kachezee na wajukuu zako huko, it's weekend acha wenye furaha zetu tufurahiiiii makasiriko yako peleka kwa aliyekupa, upoooooooππ₯Bila shaka utakua na matatizo ya akili,
Ina maana hujui hata unachokiongea hapa?
Mimi nimekuuliza kwa mujibu wa comment yako,sijaongeza kitu chochote wala kupunguza kitu chochote,au akili zimesha kuruka kwa kusagwa kama mahindi ya ugali?
Umaarufu na gharama zakeNaona km kapotea baada ya zile route za polisi.
Aliufurahia lkn umemgharimu parefu sana. Hakujua labda kuna siku atalala sero.Umaarufu na gharama zake
Hivi wewe una akili timamu kweli? ni wapi nimetoka nje ya mada?Chizi humjua chizi mwenzie, nikuambie tu acha umbea na ufukunyuku (kama ni mwanaume kamili lakini), jikite kwenye mada huna cha kuchangia kachezee na wajukuu zako huko, it's weekend acha wenye furaha zetu tufurahiiiii makasiriko yako peleka kwa aliyekupa, upoooooooππ₯
Mkuu wewe deal na position yake yeye anachoongelea nani masculine na nani feminine. In their case yeye ndo receiving end(yaani anapelekewa moto) na mwenzie so yeye ndo kama mwanamke wa yule mwanamke mwenzie. Hivyo basi kutokana na mtazamo wake anapaswa kuhudumiwa.Hivi wewe una akili timamu kweli? ni wapi nimetoka nje ya mada?
Nimekuuliza swali kwa mujibu wa andiko lako,
Angalia ulicho kiandika hapa chini,
''Unajua hii mada mimi nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote amebeba yeye na hajawahi kulalamika''
Ndio maana nikakuuliza kama upo kwenye ndoa ya jinsia moja,kwanini unasema kazi ya mwanamke ni kuhudumiwa? wewe huyo mwanamke mwenzako aliye kuoa kwani jinsia yake imebadilika na amekua mwanaume?
Usichokielewa hapo ni nini sasa?
nitolee bipolar yako huko unataka kujua ya mwenzi wangu ili iweje kama sio umbea, nimejizungumzia MIMI unataka ya wengine, pyeeeeeee nenda kameze dawa zako huko babu mzima huna haya kufukua fukua mambo yasiyokuhusu,Hivi wewe una akili timamu kweli? ni wapi nimetoka nje ya mada?
Nimekuuliza swali kwa mujibu wa andiko lako,
Angalia ulicho kiandika hapa chini,
''Unajua hii mada mimi nipo kwenye ndoa (ya jinsia moja) huu mwaka wa 11, na ndio tunavyoishi majukumu yote amebeba yeye na hajawahi kulalamika''
Ndio maana nikakuuliza kama upo kwenye ndoa ya jinsia moja,kwanini unasema kazi ya mwanamke ni kuhudumiwa? wewe huyo mwanamke mwenzako aliye kuoa kwani jinsia yake imebadilika na amekua mwanaume?
Usichokielewa hapo ni nini sasa?
Thank youπMkuu wewe deal na position yake yeye anachoongelea nani masculine na nani feminine. In their case yeye ndo receiving end(yaani anapelekewa moto) na mwenzie so yeye ndo kama mwanamke wa yule mwanamke mwenzie. Hivyo basi kutokana na mtazamo wake anapaswa kuhudumiwa.
Na polisi ni wabaya ukiwa kwenye anga zaoooo, waone huko huko nje wamechomekeaπAliufurahia lkn umemgharimu parefu sana. Hakujua labda kuna siku atalala sero.
Wewe kweli umeathirika kwa kusagwa,nitolee bipolar yako huko unataka kujua ya mwenzi wangu ili iweje kama sio umbea, nimejizungumzia MIMI unataka ya wengine, pyeeeeeee nenda kameze dawa zako huko babu mzima huna haya kufukua fukua mambo yasiyokuhusu,
ππππ₯
Hilooooooooooooo zee zima hovyoooooooooo umekazana kuandika essay kwenye vitu visivyokuhusu, linaona hadi aibu, mada iniongelee mimi wewe ulete mkomwe wako kujua ya wengine utakufa na kihoro kizee wewe, kwanza mambo haya ya vijana ulipaswa kua jukwaa la wafugaji na wakulima huko ukatoe shuhuda zako,π ππππWewe kweli umeathirika kwa kusagwa,
Uzi uanzishe wewe halafu utulaumu sisi wachangiaji kuchangia kile ambacho wewe mwenyewe ndio umekileta hapa,
Kama hutaki kuulizwa,kitu gani kilikuwasha kuanzisha huu uzi? huyo aliyekuoa na anakusaga sisi tungejuaje hayo bila wewe mwenyewe kusema hapa?
Halafu wala sikushangai coz mara nyingi vichaa hujiona wao ndio wapo sawa na kuona wenye akili timamu ndio hawapo sawa,
Siku nyingine kamuanzishie uzi wako mamako ili asikuulize maswali ila JF utaulizwa kutokana na ulichokiandika hapa.
Ukisha tumia neno ''Mwanamke mwenzie'' unakubali kua hizo zote ni jinsia moja,so yeye ndo kama mwanamke wa yule mwanamke mwenzie
Kipi ni kipimo chako cha kujua huyu ni mzee na huyu sio mzee hapa JF?Hilooooooooooooo zee zima hovyoooooooooo umekazana kuandika essay kwenye vitu visivyokuhusu, linaona hadi aibu, mada iniongelee mimi wewe ulete mkomwe wako kujua ya wengine utakufa na kihoro kizee wewe, kwanza mambo haya ya vijana ulipaswa kua jukwaa la wafugaji na wakulima huko ukatoe shuhuda zako,π ππππ