Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,921
- 19,772
- Thread starter
-
- #641
Ona lilivyo lofa eti hapo issue ni nywiiiiii nywiiii nywiiiii, hata halijui maana ya gender na sex laiti ungejua tofauti zake usingeandika huo upupu hapa, na pia mada ni service provider hayo ya gender umeyaleta wewe, umekua unabadilisha muelekeo wa hii mada tangu huko juu, andika yako usinilishe manenoUkisha tumia neno ''Mwanamke mwenzie'' unakubali kua hizo zote ni jinsia moja,
Sasa unaposema ''Mwanamke kuhudumiwa'' na hapo unahudumiwa na mwanamke mwenzako,je uanamke wa mwanamke anayekuhudumia unabadilika kisa anakuhudumia? hapa issue ni gender na sio service provider,issue ipo hapa.
Wazazi wangu wananipenda sana mtoto wao kichaa ila wewe wazazi wako wamekukana ndio maana una makasiriko muda wote, fix kwanza hiyo trauma yako utakuja kuona kumbe dunia ni tamu sana na unaweza kusmile bila kukunja ndita.🥳🥳🥳Kipi ni kipimo chako cha kujua huyu ni mzee na huyu sio mzee hapa JF?
Bila kujijua unazidi kudhihirisha kua wewe ni kichaa,wazazi wako wana hasara kubwa sana.
Lazima wakupende hakuna jinsi japo wanajua kua ni hasara,Wazazi wangu wananipenda sana mtoto wao kichaa
Mambo ya gender nimeyaleta mimi! sio wewe tena?Ona lilivyo lofa eti hapo issue ni nywiiiiii nywiiii nywiiiii, hata halijui maana ya gender na sex laiti ungejua tofauti zake usingeandika huo upupu hapa, na pia mada ni service provider hayo ya gender umeyaleta wewe, umekua unabadilisha muelekeo wa hii mada tangu huko juu, andika yako usinilishe maneno
Huyo Mzee, anakuwaga na issue zake binafsi. Asha nifanyaga ujinga wa namna hii Uzi flani. Anauliza maswali ya kukutoa mchezoni, ilhali anajua majibu. Mzoee tu na asikuchoshe kichwa.Thank you😘
Huyu mzee anapelekeshwa na homons za uzee,😂 anapenda sana mabishano na kujifanya much know, mambo haya atuachie vijana si unaona tulivyoelewana chap tu 🥂
Mimi siwezi kuumizwa na kusagwa au kukobolewa au wereva nisingesema hapa hapa ungejua? hivi unadhani ukiniita msagaji naumia wakati ni kweli hehehehehe walai we mzee unazeeka vibaya sana, nisichotaka ni umbea wako umekaribishwa kibarazani unataka ufike hadi chumbani huna hayaaaa!! hukufundwa huko kwenuuu????Mambo ya gender nimeyaleta mimi! sio wewe tena?
Naona umebakisha kuruka ruka tu kama Kuku aliyekatwa kichwa kisha akaachiwa ghafla,una anza kuyakataa maandishi yako wewe mwenyewe,hakuna aliyekuzuwia kusagwa,wewe kobolewa tu,naona hilo ndio limekutachi sana mpaka unatoka nje ya mada uliyo ianzisha wewe mwenyewe.
Acha kujipendekeza kwa mtu anayesagwa,huoni hata aibu mzee? wanaume hatupo hivyo,unataka kudeal kwenye jambo na mimi niface mimi direct acha kuzunguka,Huyo Mzee, anakuwaga na issue zake binafsi. Asha nifanyaga ujinga wa namna hii Uzi flani. Anauliza maswali ya kukutoa mchezoni, ilhali anajua majibu. Mzoee tu na asikuchoshe kichwa.
Kwani nani kakwambia kua unaumizwa kwa kusagwa?Mimi siwezi kuumizwa na kusagwa au kukobolewa au wereva nisingesema hapa hapa ungejua? hivi unadhani ukiniita msagaji naumia wakati ni kweli hehehehehe walai we mzee unazeeka vibaya sana, nisichotaka ni umbea wako umekaribishwa kibarazani unataka ufike hadi chumbani huna hayaaaa!! hukufundwa huko kwenuuu????
Namjua uzuri wala hanipi shida, zaidi ananipa kampani tu hapa ya kusukuma muda uende, ila hua namuona kama nyuzi moja kichwani imechomoka anapenda kujiamulia mambo sana😂😂😂Huyo Mzee, anakuwaga na issue zake binafsi. Asha nifanyaga ujinga wa namna hii Uzi flani. Anauliza maswali ya kukutoa mchezoni, ilhali anajua majibu. Mzoee tu na asikuchoshe kichwa.
Pyeeeeeeee upepo umeanza kuisha eeh yaan ni kama soda imeanza kuisha gesi🤣🤣🤣Kwani nani kakwambia kua unaumizwa kwa kusagwa?
Binafsi I'd like to arguehapa issue ni gender na sio service provider,issue ipo hapa
Naona umebakiza kujichekesha chekesha tu,na hiyo ni dalili ya kujifariji,Pyeeeeeeee upepo umeanza kuisha eeh yaan ni kama soda imeanza kuisha gesi🤣🤣🤣
Kwa uelewa wako hiyo 50/50 ilikua ni comparison ya jinsia gani na jinsia gani?Binafsi I'd like to argue
Refer title ya Uzi: Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii
Hakuna gender included hapo....
period
Kucheka ndio hulka yangu ankali, mimi hua sinuni nuni maana sina kitu cha kuninunisha mpaka sasa, yaan hata cheko langu linakukera duuuh wewe kiboko unahitaji maombi na duaa hii sio hali ya kawaida 🥺😂😄Naona umebakiza kujichekesha chekesha tu,na hiyo ni dalili ya kujifariji,
Anyway unapoleta mada,acha wachangiaji wachangie,JF is an open Forums.
Hayo maombi na hizo duaa utazifanya kwa imani ya dini ipi au kwa Mungu yupi?unahitaji maombi na duaa hii sio hali ya kawaida 🥺😂😄
Mungu wa wayahudi na wapalestinaHayo maombi na hizo duaa utazifanya kwa imani ya dini ipi au kwa Mungu yupi?
Nawajua niliibiwa November last year duuh tuliendeshana hatari. Niliwachamba huku nawadomesha mdogo mdogo.Na polisi ni wabaya ukiwa kwenye anga zaoooo, waone huko huko nje wamechomekea😄
Hahahaha uliwakomesha kama nakuona ulivyokua unawachamba, yaani hao bila na wewe kujitia wazimu unaweza ikosa haki yako hivi hivi, btw pole kwa kuibiwa jamani inaumizaNawajua niliibiwa November last year duuh tuliendeshana hatari. Niliwachamba huku nawadomesha mdogo mdogo.
Jamaniiiii hiki kichambo mbona cha motrooooo sana hadi nimesisimka🤠😀wakiitwa wazuri sijui nawe utatoka uso kama mbuzi wa shughuli asojua kupodooka pelekeaneni motrooooo,