Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mbona unamakasiriko.
 
Dunia imeisha Sasa anapelekewa moto na Nini? Wakati huyo provider wake ni mwanamke mwenzako mwenye ule kama yeye mbona ni Mambo ya kushangaza sana kwa kweli
Haka kajamaa kanajipendekeza na kujitia aibu tu,hapa issue huyo provider nae ni Mwanamke pia,ndio maana hapa issue ni hiyo 50/50
 
Duh! Shukran mkuu, nimepata ABC ya swali languπŸ™
 
Haka kajamaa kanajipendekeza na kujitia aibu tu,hapa issue huyo provider nae ni Mwanamke pia,ndio maana hapa issue ni hiyo 50/50
Mkuu mbona ww mtu mzima lakini unakuwa triggered kama mtu asiyepevuka? We hapo usichoelewa ni Nini? Mahusiano Yao kwako yanakuhusu? Mbona unakuwa kama demu aliyechapwa machine bure!?
Unakasirika on someone humjui, humlishi, kwani hapo kwenye provider na submissive archetypes hujaelewa Nini. Unataka aolewe na wewe? Sio mwanao, dada Ako au nduguyo. And most of all hii ni JF why the heck do you even care?
You are disgustingly so cringe, una bichwa gumu sana Mzee.
 
Huo uzee wa mtu unaupimaje hapa JF?
She's on receiving kutoka kwa mwanamke au mwanaume?

Kama unaona mimi ni mzee basi niunganishe na Mamako.
Sasa si jibu unalo, unauliza Nini tena?

You see now, zee Zima haliwezi kujizuia emotionally?
 
Mkuu mbona ww mtu mzima lakini unakuwa triggered kama mtu asiyepevuka?
Nimekuuliza hivi,utu uzima wa mtu hapa JF unaupimaje?
Kama unaona mimi ni mtu mzima basi niunganishe na mamako.
We hapo usichoelewa ni Nini? Mahusiano Yao kwako yanakuhusu?
Hakuna sehemu niliyoongelea mahusiano yao,kumbe umekurupuka tu na shobo zako za kujipendekeza kwa huyo mwanamke bila hata kujua kinachojadiliwa hapa? issue nimemuuliza kua,anasema mwanamke kazi yake ni kuhudumiwa,ndio nikamuuliza huyo aliyekuoa ni mwanamke mwenzako,je yeye jinsia yake inabadilika kisa ameoa mwanamke mwenzake? yeye anakua sio mwanamke ambaye nae anatakiwa kuhudumiwa? usichokielewa ni nini hapo?
Mbona unakuwa kama demu aliyechapwa machine bure!?
Kumbe hua unachapwa mashine kwa kulipwa sio?
Unakasirika on someone humjui, humlishi, kwani hapo kwenye provider na submissive archetypes hujaelewa Nini. Unataka aolewe na wewe?
Wewe ni kajamaa kapumbavu sana,nani kakwambia kua hapa issue ni huyo kuolewa na mwanamke mwenzake? hata wewe kwa unavyoandika hapa unaonekana kabisa umeolewa na mumeo ni mkali sana,
Sio mwanao, dada Ako au nduguyo. And most of all hii ni JF why the heck do you even care?
You are disgustingly so cringe, una bichwa gumu sana Mzee.
Wewe ***** hii mada imeletwa na mleta mada mwenyewe,hapa tuanajadili mada,hizo shobo zako za kumshobokea,haujakatazwa,wewe mshobokee tu ila usijilete kwangu,mimi hua sichezei tope,
Uwe unasoma comment za watu na kuzielewa kwanza kuliko kukurupuka,hakuna mtu aliyejadili hiyo ndoa ya jinsia moja acha kujishtukia,wewe endelea tu kupelekewa moto na mumeo.
 
Sasa si jibu unalo, unauliza Nini tena?

You see now, zee Zima haliwezi kujizuia emotionally?
Huna akili wewe,unaulizwa maswali badala ya kujibu unakuja kunitingishia makalio yako hapa,angalia tu usije ukakata shanga zako za kiunoni,

Halafu bila shaka wewe ndio mleta uzi mwenyewe,umekuja tu na ID yako nyingine,haiwezekani utokwe povu wakati anayeulizwa ni mleta mada,naona imekuuma sana.
 
Haka kajamaa ni kajinga sana,kanaingilia mjadala kwa kukurupuka bila hata kujua kinacho jadiliwa ni nini hasa,ni vile vijitu ambavyo hua vinapenda kujipendekeza,kajamaa kanajipendekeza kwa mleta mada!
Nikusanue tu!πŸ˜‚ Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.
 
Nikusanue tu!πŸ˜‚ Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.
Ukumbe ndio haka kajamaa kenyewe,

Ukitaka kujua haka kajmaa ni kajinga angalia kanafuatilia mpaka mtu anayecheka kwenye comment kisha kanaandika comment ya kumuuliza mtu huyo kwanini anacheka! huu kama sio ukicha ni nini!
 
Nikusanue tu!πŸ˜‚ Ule uzi wake wa jumapili iliyopita kuhusu dini hadi tukamwambia haeleweki alimind akaweka vitu moyoni ndo maana kakuandama.
Hamku elewa nyie tu mfs ndo maana mlikimbia. Uzi ulikua clear kabisa. It's all y'all lack of awareness na ignorance ndo mkashimdwa kuhimili mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…