The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Niunganishe na mamako mimi babu yako ili japo upate baba wa kambo,unaishije bila kumjua babako ni nani miaka yote hiyo?Wote nyie ephen_ na huyo babu yako The Icebreaker ni masnitch angalia mnavyo sapotiana kama mashoga vile.
I don't give a ***. Coz I know Bado level zenu za kifikra ni zilezile
Endelea kupandwa na anayekupanda,mimi sichezei tope.Alaf mnataka ww na jamaa yako mnipande
Kwahiyo wewe ***** uliona wivu mimi kujibizana na wanawake ndio maana ukajileta mbele yangu sio!asinge kuwa anajibizana na watu wa kike
Alf wewe The Icebreaker ukaandika kitu tofauti kwenye quote yangu.Sijasema mchumba nimesema shoga. Angekuwa mchumba asinge kuwa anajibizana na watu kama wa kike
🤣🤣🤣🤣Nikifatilia wanaume si ndo nature inavyonitaka, wewe kufatilia mwanaume mwenzako je?
Nilikupotezea kama ulivyotaka ila umenifata mwenyewe jishikilie basi..!
Post yako ipi nimeiedit?We The Icebreaker na ephen_ wako wote machizi tu. Yaani mnachukua posts Manzil edit ili watu waone vinginevyo. Alaf mnaandika ujinga ambao hatujaandika? Ili iweje?
Ona hii
Alf wewe The Icebreaker ukaandika kitu tofauti kwenye quote yangu.
View attachment 3594308
Mbona umebadili maneno?
What the *** are you doing. Jibaba Zima lenye akili timamu linakaa kutafta attention. Foolish zombie!
Unaona ulivyo snitch. Anyways endeleeni umbea na babu baby shoga yako. Siwajibu tena, am not a fool to argue with fools.Usawazishe mambo na nani? Sitaki shobo
Tunachangamshana🤣🤣🤣🤣
Mimi sina shida na wewe nilikua nakukumbusha tu ulivyoniambia nifanye mambo yangu na wewe yako.Unaona ulivyo snitch. Anyways endeleeni umbea na babu baby shoga yako. Siwajibu tena, am not a fool to argue with fools.
Jamiiforum ina aina ya kila ya watuTunachangamshana
Yani hata kabla ya kuniunganisha na mamako umesha anza kuniita Baba!Jibaba Zima lenye akili timamu linakaa kutafta attention.
Mbona unakimbia mapema hivi? Ndio kwanza nilikua nataka nikubadilishie dozi hapa ili upone kabisa.Siwajibu tena.
Yess!!Yah ndo nilichomwambia huyo Mzee, she's on the receiving end(anapelekewa moto) yaani submissive.
Unatoka nje ya mada kabisa, nini maana ya laana. Wazazi wanahusika vipi na mahusiano ya mtoto??Wanaona ni uhuru wa kajiamulia mambo lakini ni laana ambayo itawatafuna sana anaweza asione Sasa ila baadae ataona laana inamaana gani hata wazazi wake hawawezi kuruhusu upuuzi kama huu
Unatakiwa kubaki mama wa nyumbani ili mume akuhudumie kwa kila kitu, sasa ukiwa nawe mwajiriwa, utajikuta unakosa muda wa kumtunzia mumeo watoto wenuKumbe 50/50 inaingia kwenye mwanamke kufanya kazi! kwa maana ilitakiwa mwanamke asisome wala asifanye kazi, hapana mnakosea mwanamke kupata elimu ni HAKI yake na mwanamke kufanya kazi ni HAKI yake pia, mwanamke kuolewa ni HAKI yake na kulea watoto na mume wake ni WAJIBU wake, mwanaume kutunza familia ni WAJIBU wake bila kuangalia nini mkewe anaingiza, siku akikwama mke atamboost lakini sio mke na mume mkae mezani muanze kugawana majukumu ya kutunza familia, hapana huo ni ukandamizaji wa mwanamke abebe mimba, azae kwa uchungu na bado alipie majukumu ya familia, HAPANAAAAAA
Kama wewe G 😹Mmoja wao mtaje?
Kumbe unaelewa kuwa napenda nisipopendeka! Jidanganye, hata katika Biblia kumeandikwa, mwanamke hapendi anapendwa. Nakuvutia hatua ipo siku utaingia laini tu.Kama wewe G 😹
G unapenda mtu usiyemjua 😹😹Kumbe unaelewa kuwa napenda nisipopendeka! Jidanganye, hata katika Biblia kumeandikwa, mwanamke hapendi anapendwa. Nakuvutia hatua ipo siku utaingia laini tu.
Au sio? 😹Wewe umekosa aina fulani mwanaume mwenye mamlaka na ambaye mkomavu kiakili ambaye anajua jinsi ya kuishi vizuri na mwanamke ukimpata mwanaume wa aina hii simu yake moja tu unajileta mwenyewe haijalishi una upwiru au hauna wanawake wa aina yako walikuwa na mawazo kama yako bindi walivyopata aina ya Wanaume walichange
Niombee kWa mungu na mshenga wangu cocastic tufanikiweG unapenda mtu usiyemjua 😹😹
Haya kazana mpaka niingie laini darling..!!