Mambo ya 50/50 binafsi mnitoe siyatakiiii

Mwenza wa kujadili ngono tu simpendi wallaq dk sifuri namkinai..!!

Mimi napenda mwanaume tudiscuss madili ya pesa, siasa, vita na mpira. Na siku ya mahaba ni mahaba 24hrs 😹😹😹

Sasa muda wote mapenzi tu na kuulizana aina ya mikao ya kimbwa mbwa HAPANA KWAKWELI!!
 
Utapewa mtaji uzalishe pesa zako mwenyewe, dawa ya kukata kuombwa ombwa hela ni kumpa mtaji tu
Huwa wanashindwa wengi tu!
Kuna mmoja alitaka Kodi za frem nikamwachia kiroho safi Bado akawa na gubu eti simpi pesa mkononi na room akahama!nikaona isiwe tabu nikaoa kitu cha elfu mbili ukikipa bukumbili au tatu anashukuru na mabusu anataka!!!

Viumbe wa ajabu sana hawa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…