Eeeeh, ila kama kuhudumiwa kihivyo ni raha sana mbona wengi wenu mnalalamika kwenye confession page za insta, " ooh mume anahudumia, hana changamoto ya kitabia ila ana sura mbaya, hadi naona aibu kuongozana nae, niki-sex nae kama ananibaka"-
Dr. Mariposa ephen_ Seran nakadorii Mahondaw ShesRise_1 leo dada