Kama ni hayo niliwahi kumdunda mwalimu et kisa sikuchana nywele siku hiyoWatu hawachelewi kunisema watz hatupendi ukweli
Inaonekana umesoma kayumba sisi wa medium hatujafanya ujinga wa ivyo
Mbwe mbwe tu mkuuWakishua sio mkuu
Umesoma boarding?Habari zenu wana Jf
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi nilikuwa na tabia ya kuwapiga watoto wa walimu endapo huyo Mwalimu alinipiga lazima nimvizie mtoto wake nimpe ngumi ya nguvu.
Nikitumwa kuchota maji kwa Mwalimu ambaye simpendi lazima nitemee mate .
Naombeni mnisamehe natubu dhambi zangu .Msema kweli mpnz wa mungu walimu kuweni makini na wanafunzi jaman.
Mapovu ruksa kesho nina kazi ya udobi.