Kipindi niko five kuna wavulana walikuwa wakorofi sii kidogo, kila siku wanasumbua darasani,hiyo siku wakaiba daftari la wasumbufu wakaniandika zaidi ya mara kumi!!!! Basi wakaendelelea kusumbua mie sina habari, mara mwalimu wa zamu huyo naulizwa wasumbufu nasema sijaandika ,nikaambiwa leta daftari la wasumbufu nkatoa, kulifungua ni jina langu liko pale kwenye tarehe tofauti daaaah!!!! Sijawahi chapwa kama vile, baada ya siku mbili wananifuata na kukiri jaaaamaaaniii!!!! Niliwasamehe kwa makubaliano kuwa hawatokaa wasumbue lakini akili zao wanazijua wenyewe!!!! Siku mbili wamerudi mulemule