Mambo ya ajabu uliyowahi kufanya ukiwa shule ya msingi

Gobolee hahahah sipati picha kelele za wanafunzi
 
Machimbo wenzangu tupo wale wa kutoingia class na kujisahihishia na peni nyekundu.Tulikuwa tunakutuna kwa bikob*ro mtaalam wa kupika mihogo hapo ndio machimbo(majonzi) hatukosekani kizinga Primary Xul
Mlipinda si kidogo saiv mtt akifanya ujinga anachezea stik si kidogo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu uliweka kulibeba gobole kweli
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu uliweka kulibeba gobole kweli
Mkuu darasa la 3 ya zamani kidogo kiumri tulikuwa wakubwa kama ndoo ya ulanzi Lita 20 inakaa kichwani ije kuwa gobole
 
Kipindi niko five kuna wavulana walikuwa wakorofi sii kidogo, kila siku wanasumbua darasani,hiyo siku wakaiba daftari la wasumbufu wakaniandika zaidi ya mara kumi!!!! Basi wakaendelelea kusumbua mie sina habari, mara mwalimu wa zamu huyo naulizwa wasumbufu nasema sijaandika ,nikaambiwa leta daftari la wasumbufu nkatoa, kulifungua ni jina langu liko pale kwenye tarehe tofauti daaaah!!!! Sijawahi chapwa kama vile, baada ya siku mbili wananifuata na kukiri jaaaamaaaniii!!!! Niliwasamehe kwa makubaliano kuwa hawatokaa wasumbue lakini akili zao wanazijua wenyewe!!!! Siku mbili wamerudi mulemule
 
Kuiba mapera shambani. Ila siku nilipokamatwa na mwenye shamba ndo ilikuwa mwisho
 
Kiskonga wale wa kukaa nyuma kabisa ya darasa madawati mawili ya mwisho wote tulikuwa tunakuja na Kipolo cha ubwabwa asubuhi ikifika mida ya saa m ili chini unakuta punje za ubwabwa kbao
[HASHTAG]#Paulinius[/HASHTAG] [HASHTAG]#Peter[/HASHTAG] [HASHTAG]#joseph[/HASHTAG] [HASHTAG]#issakwisa[/HASHTAG] [HASHTAG]#laurent[/HASHTAG] .... Watu walikuwa wanatuona waAjabu sana ila sisi tulikuwa hatuna habari
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatar 2pu
 
Walimu walikosea sana waliponichagua kama mkusanya ushuru wa shule hah hah hah akili za kichaga zilianza zamani sana, nilikuwa napiga pesa mpaka najiogopa hah hah hah risiti hazitoki kwenye kitabu kwa mwezi mzima dah natamani sana ijirudie hivi hah hah hah hah
 
Yan mm nlikuwa napenda kuwachungulia wadada Ile mbaya nakuja nakioo changu natega chin ya madesk naona kila kitu mubashara km hajavaa chup na papuchi naitazama [emoji23] [emoji23] na kingine tena n kusugua. Mbegu za ubuyu na kuwachoma wadada inshort nlikuwa napenda sna hv viumbe Achia mbali na utoro, kugegeda wanafunz wenzangu, uchokozi nilikuwa mtundu km FARU FAUSTA[emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…