Mambo ya body building haya pale inapoamua kukuvua personality

Mambo ya body building haya pale inapoamua kukuvua personality

OCCID Dominik

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2024
Posts
218
Reaction score
395
Wakuu nadhani huyu mwamba kitu kama msouth ama Zimbabwe kwa lafudhi anatrend sana kwa clips zake huko mitandaoni nadhani ni gym trainer, kwa mwenye details zake amwage hapaa nina wasiwasi naee ama ndo gym side effects????

Jamaa kapiga tizi la kupunguza mafuta bythen kajaa shepu ya nyuma AKA figaaa mi sijaelewa kama ni plans zake ama ndo kisichotegemewa. Halafu anaonekana yupo happy na hayo maumbile yake,details basiiiii

Screenshot_20240528-075101.jpg
Screenshot_20240528-075015.jpg
 
Huyu mshenzi sio rizki, aina ya mazoezi yake specifically yanalenga kutengeneza kishundu. Tunachoweza kukubaliana ni kuwa mazoezi yanaweza kutengeneza shape yoyote unayotaka na kwamba ni suluhu ya mloganzila kwa wanawake wenzangu ambao hawajalizika na majaaliwa ya mungu
 
Huyo jamaa wa gym na mleta mada ndio wale wale tu,

Huwezi kua interested na kitu ambacho hukipendi au unaona hakipo sawa,

Details zake,wewe zitakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi? hawa wapuuzi mnawakuza wenyewe kwa kuwapa attention za kijinga tu.
 
Mbona bado mapema sana kujadili haya mambo, wakati hua tunayajadili jioni baada ya kuoata hela mazeee
 
Wakuu nadhani huyu mwamba kitu kama msouth ama Zimbabwe kwa lafudhi anatrend sana kwa clips zake huko mitandaoni nadhani ni gym trainer, kwa mwenye details zake amwage hapaa nina wasiwasi naee ama ndo gym side effects????

Jamaa kapiga tizi la kupunguza mafuta bythen kajaa shepu ya nyuma AKA figaaa mi sijaelewa kama ni plans zake ama ndo kisichotegemewa. Halafu anaonekana yupo happy na hayo maumbile yake,details basiiiii

View attachment 3001383View attachment 3001384

Huyo wateja wake wakuu ni wanafunzi wa kike anawafundisha kujaa butt ndio zoezi kuu analowafundisha na kujipatia kipato. Dont freak out nigga let him be ama peleka mkeo akamjaze butt kwa zoezi
 
Back
Top Bottom