Mambo ya body building haya pale inapoamua kukuvua personality

Mambo ya body building haya pale inapoamua kukuvua personality

Huyu mshenzi sio rizki, aina ya mazoezi yake specifically yanalenga kutengeneza kishundu. Tunachoweza kukubaliana ni kuwa mazoezi yanaweza kutengeneza shape yoyote unayotaka na kwamba ni suluhu ya mloganzila kwa wanawake wenzangu ambao hawajalizika na majaaliwa ya mungu
Na yeye clips zake zotee yupo Bize kushare aina moja ya zoezi(squert)..
 
Huyo jamaa wa gym na mleta mada ndio wale wale tu,

Huwezi kua interested na kitu ambacho hukipendi au unaona hakipo sawa,

Details zake,wewe zitakusaidia nini kwenye maisha yako binafsi? hawa wapuuzi mnawakuza wenyewe kwa kuwapa attention za kijinga tu.
Shoga wewe
 
Shoga wewe
Kwa mada uliyoileta wala haihitaji maswali mengi,mtu hua yupo interested na vitu anavyovipenda au anavyovifanya,
Naona unamuonea wivu huyo jamaa wa gym mpaka unatake details zake ili akuelekeze na wewe njia gani katumia kujazia matrako.
 
Back
Top Bottom