looh mungu asinipe mwili huo nitateseka mie
FirstLady,
Hayo ni matokeo ya ma-hot dogs, pizza, keki keki, masukari etc. Hapo Mungu keshakupa utashi wa kutambua baya na jema, kama utaendekeza misosi hovyo-hovyo huo utipwa utipwa huwezi kuukwepa na Mungu hatakuwa na msaada na wewe. You are what you eat!