Mambo ya Casual Friday!

Mambo ya Casual Friday!

Deodat

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2008
Posts
1,274
Reaction score
274
Casual friday inapokuwa haina mipaka matokeo yake ndio haya!
 
Attachments

  • funny_office_pictures_08[1].jpg
    funny_office_pictures_08[1].jpg
    16.8 KB · Views: 573
looh mungu asinipe mwili huo nitateseka mie

FirstLady,

Hayo ni matokeo ya ma-hot dogs, pizza, keki keki, masukari etc. Hapo Mungu keshakupa utashi wa kutambua baya na jema, kama utaendekeza misosi hovyo-hovyo huo utipwa utipwa huwezi kuukwepa na Mungu hatakuwa na msaada na wewe. You are what you eat!
 
no no no!! ni matokeo ya madawa ya kichina!!
 
Duu!! hii lazima ni mambo ya chainizz, haya maharage ya mbeya mie hayashuki hata kwa kulumangia!!
 
Back
Top Bottom