Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,033
Chezeya bahati weye,iko tajengea nyumba bebe masaki,tanunulia bebe luxury bus la kutembelea lenye brand name yako.hebu ukae chini ufikirie tena usipitwe na bahati hiyo,vadogo zako vote tapeleka ulaya,msichana enu ya kazi tapeleka yeye dubai na mbwa wenu tapeleka malawi
Veve hautaki viatu vya high heels kama vya beyonce alivyovaa siku anafunga ndoa na sean carter aka jay z?iko tanunulia bebe mbwa germany shepherd na nyingine ya south africa,chezea manoti bebe,tajengea nyumba kubwa bebe kama ikulu,nitakununulia kiwanda cha bakhresa tuvibadilishe viwe shule tupeleke batoto betu bakasome
Ngoja nitume wakaguzi wa hesabu za serikali
Tutoke zetu humu