Mambo ya fedhaaa

Mambo ya fedhaaa

Good Father

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
10,321
Reaction score
18,574
Kuna jamaa alipewa shilingi 3987698237982...acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi T...safi sana, najua umeangalia tena kuiona hiyo herufi, bahati mbaya hujaiona.

----->> samahan kwakukuletea ujinga
Umezawadiwa hasira za ghafla[emoji23] [emoji23]
 
Pumbav sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Samahani eti ulichangia maafa ya Kagera?[emoji23]
Nilitaka kujua kama bado nikupe akaunti ya kutuma mchango wako
Saiv tunatuma kwa tigo pesa[emoji23]
 
Nipe namba hio unipe na PIN kabisa
 
Jamani shule zifunguliwe tu maana Jf imevamiwa
Huku ni jukwaa la jokes
Acha kufuata mkumbo wa komenti za jf
Alafu usidhani kila mtu ni mwanafunzi hapa.
Ukitaka usiriazi nenda majukwaa mengine mkuu hapa nimepost kwenye jokes, we can't be serious all the time, kuna wakati wa kucheka kuondoa stress

"Serious business doesn't mean we can not have some fun along the way" -------- by Donald Trump soma kitabu chake kina title "why we want you to be rich"
Robert kisoyaki & Donald Trump
 
Dah umenishika kotekote
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] Rambirambi zangu kwenu nairudisha chattle kagera.
 
Huku ni jukwaa la jokes
Acha kufuata mkumbo wa komenti za jf
Alafu usidhani kila mtu ni mwanafunzi hapa.
Ukitaka usiriazi nenda majukwaa mengine mkuu hapa nimepost kwenye jokes, we can't be serious all the time, kuna wakati wa kucheka kuondoa stress

"Serious business doesn't mean we can not have some fun along the way" -------- by Donald Trump soma kitabu chake kina title "why we want you to be rich"
Robert kisoyaki & Donald Trump
Hayo ni mawazo yako tuu, na sio kila akisemacho trump ni sahihi na ni wajibu kufuatwa la hasha, vingine ni upuuzi tu kama wengine!!!
 
Nimekupa mfano
Sasa Mimi nawewe Nani empty minded? Mi nimepost kichekesho jukwaa la jokes we unajaa upepo
Fanya kazi kama unaisoma namba nakutakia usomaji mwema it seems uko stressed sana[emoji23] [emoji23]
 
anaisoma namba huyo msamehe bure
 
Nimekupa mfano
Sasa Mimi nawewe Nani empty minded? Mi nimepost kichekesho jukwaa la jokes we unajaa upepo
Fanya kazi kama unaisoma namba nakutakia usomaji mwema it seems uko stressed sana[emoji23] [emoji23]
Neno moja unafoooka, inaonekana magu kakukaba kooni!!!
 
Mimi Niko sekta ambayo hata mkulu anatambua mchango wangu 100%
Nadhani uliko wewe ndo posho zimefutwa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huku ni jukwaa la jokes
Acha kufuata mkumbo wa komenti za jf
Alafu usidhani kila mtu ni mwanafunzi hapa.
Ukitaka usiriazi nenda majukwaa mengine mkuu hapa nimepost kwenye jokes, we can't be serious all the time, kuna wakati wa kucheka kuondoa stress

"Serious business doesn't mean we can not have some fun along the way" -------- by Donald Trump soma kitabu chake kina title "why we want you to be rich"
Robert kisoyaki & Donald Trump
Nice reply
 
Ulichoshindwa kuelewa hata hii pia ni jokes
 
Ulichoshindwa kuelewa hata hii pia ni jokes
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwezi January mgumu naona
c66142be00bbde19b7be881ecf7312a1.jpg
 
Cja
Nimekupa mfano
Sasa Mimi nawewe Nani empty minded? Mi nimepost kichekesho jukwaa la jokes we unajaa upepo
Fanya kazi kama unaisoma namba nakutakia usomaji mwema it seems uko stressed sana[emoji23] [emoji23]
chana nae huyo, kaingiliwa
 
Nimekupa mfano
Sasa Mimi nawewe Nani empty minded? Mi nimepost kichekesho jukwaa la jokes we unajaa upepo
Fanya kazi kama unaisoma namba nakutakia usomaji mwema it seems uko stressed sana[emoji23] [emoji23]
Kachanganyikiwa hiyo kusikia debe la mahindi watu wana badilishana na mbuzi watatu, ukizingatia alijitia kukimbilia mjini kushangaa maghorofa, wakati wenzake kijijini walakula ndafu sasa.
 
Back
Top Bottom