Mambo ya 'google'

Mambo ya 'google'

Pape

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2008
Posts
5,487
Reaction score
83
i1030_7720115823324883016177207894323243756833n.jpg


[ame]http://www.youtube.com/watch?v=xlSwziign9M[/ame]
 
wanaboa sana

Wewe unauhakika na usemacho? aliepost hii thread anataka kuwapima wanaokurupuka kuchangia thread bila kufanza research... anaejua architecture ya search engine(google) hawezi kusema hivyo.
 
This is a debunked hoax, for starters you can see that here
 
Haya bana... jamaa ndo wana2zarau kiivo...
Acha uoga mkuu,je ingekuandikia did you mean black people bought my car?Inaelekea ungekuwa proud sana eeh,jiamini usiwe muoga kudharauliwa!!
 

Kilichotokea hapo ni watu aliamua kufanya jokes... wote tunajua kuwa unapogoogle then ukawa ume mispselling google itakuwa suggestion ya karibu au inayofanana na uliyokusudia... sasa kilichotokea hapo jamaa alimistype.. kwa mfano "bllck people stole my car" then ndio akaletewa hiyo suggestion na baada ya hapo akarudia kuandika vizuri na kisha aka screenshoot hicho kipande na kukirusha kwa wengine...

so sio kweli kama ukiandika "black people stole my car itakuja "white people stole my car" kuna mvuta bangi mmoja kaamu kucheza na akili za watu... kwa ushahidi zaidi kafanye wewe au hiyi clip ukiplay utaona hakuna chochote kinachofanyika zaidi ya kusikia mtu anaongea tu..

Simply to make fool of others... so guyz before found u r aught... jst do a lill research
 
Back
Top Bottom