Mambo ya Guest Houses

Mambo ya Guest Houses

Richbest

Senior Member
Joined
May 23, 2011
Posts
101
Reaction score
24
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni
 
Hahahaha! Uoga ni mbaya sana!
 
Mnakula mivyakula ya mafuta na mijuke food matokeo yake mnashindwa kusimamisha Mashine vizuri na kuwa na ufanisi unaanza kusingizia wafanyakazi wa Guest!!

Anza kula ugaali wa dona samaki wakavu, wabichi, mboga za majani, na asali ya nyuki wakali wakali na usisahau mazoezi huone kama kuna mtoto wa kike atakusema vibaya.
 
Hahahaaaa.... Dunia ina mambo jamani...!
 
natamani watangaze uchawi wa kukusanya mkojo wa mtu hata kwenye mchanga
ili watu waache kojoa ovyo ovyo

Dah.. Hiyo itakuwa poa sana maana utakuta mwanaume yuko smart lakini anakojoa barabarani hata aibu hana... Aaah... Hiyo ingewakomesha sana na miji yetu ingekuwa safii!
 
Mnakula mivyakula ya mafuta na mijuke food matokeo yake mnashindwa kusimamisha Mashine vizuri na kuwa na ufanisi unaanza kusingizia wafanyakazi wa Guest!!

Anza kula ugaali wa dona samaki wakavu, wabichi, mboga za majani, na asali ya nyuki wakali wakali na usisahau mazoezi huone kama kuna mtoto wa kike atakusema vibaya.

kwikwikwikwi
 
Dah.. Hiyo itakuwa poa sana maana utakuta mwanaume yuko smart lakini anakojoa barabarani hata aibu hana... Aaah... Hiyo ingewakomesha sana na miji yetu ingekuwa safii!

kwa jinsi miji inavyo chafuliwa na mikojo
jiulize kama wanaume wangekuwa wana bleed....lol
ingekuwaje?
 
wazichukue tu hamna shida................
 
kwa jinsi miji inavyo chafuliwa na mikojo
jiulize kama wanaume wangekuwa wana bleed....lol
ingekuwaje?

Hahahaaaa.... Hivi wewe The Boss huwa unawazaga mambo gani?? Mmmh... Wangekuwa wanableed mji wote ungekuwa rangi ya REEEEEEEDOOOOOOOOOO!!!
 
Aiseee baba yangu kama ni kweli huwa wanafanya ivyo kwanzia leo nitakuwa namwaga ndani FULL STOP

ngoja nipate one 4 the road
 
Back
Top Bottom