Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uuuuwiii!!!! we kijana upo!!??
swaum ilikuwa nzuri! eid ndio usiseme nlitamani nayo iwe siku 30Nipo mamangu naona ulikua kwenye jukwaaaaa la kina Al...Maktoom kwa mfungo. Thats y tumekua tukipishana. Swaumu ilikuwa vipi au ndo unakamilisha Sita?
swaum ilikuwa nzuri! eid ndio usiseme nlitamani nayo iwe siku 30
khaaaaa!!! mwezi haukuwa mdogo but nilitamani eid nayo iwe mwezi mzima!!!!!!
Naanza kupata wasiwasi na wewe unaonyesha ulikua unakazia sana ndo maana uliona Mwezi ni mdogo... Unabisha..?
khaaaaa!!! mwezi haukuwa mdogo but nilitamani eid nayo iwe mwezi mzima!!!!!!
wanachukua za kwenye condom ukitupa kwenye kidastibin,pigeni kavu wazee.
saf sana ngoja na mi nikupe kampaniDuu ngoja mie niendeleze idd yangu mie napiga wiki.
Alas! Kumbe ndo jina lake? Sikufahamu hilo, asante kwa elimu.Hiyo mikuku yenu iliyooza mnayokula steers inaitwaje? au vyakula vyenu vijana mnaita lunch box kuna nutrition gani mule za kusimamisha mashine?