Hahahaaaa.... Dunia ina mambo jamani...!
na wewe uliwahi ona haya guest?
Niyaone wapi ndugu yangu, ndio kwanza nayapata humu JF ndio maana nashangaa kweli!
natamani watangaze uchawi wa kukusanya mkojo wa mtu hata kwenye mchanga
ili watu waache kojoa ovyo ovyo
Mnakula mivyakula ya mafuta na mijuke food matokeo yake mnashindwa kusimamisha Mashine vizuri na kuwa na ufanisi unaanza kusingizia wafanyakazi wa Guest!!
Anza kula ugaali wa dona samaki wakavu, wabichi, mboga za majani, na asali ya nyuki wakali wakali na usisahau mazoezi huone kama kuna mtoto wa kike atakusema vibaya.
Dah.. Hiyo itakuwa poa sana maana utakuta mwanaume yuko smart lakini anakojoa barabarani hata aibu hana... Aaah... Hiyo ingewakomesha sana na miji yetu ingekuwa safii!
kwa jinsi miji inavyo chafuliwa na mikojo
jiulize kama wanaume wangekuwa wana bleed....lol
ingekuwaje?
Hivi haya mambo mnatoa wapi?