Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni
kwa jinsi miji inavyo chafuliwa na mikojo
jiulize kama wanaume wangekuwa wana bleed....lol
ingekuwaje?
Watu wamepanic baada ya kusoma hii thread, maana wengi wamejikuta ngoma hazisimami wakakumbuka safari zao za kwenda guest!
kweli kabisa. lakini ni kwa mikoa ya pwani tu.Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni
Vipi?? Washakutenda? Ni kweli kabisa.
Mie walichukua mate yangu, saa hivi ulimi hauyumbi yumbi tena, upo kama chatu aliyemeza mbuzi.
Afadhali wawaloge, tena wangeziloga zikakatika m-soo-soo mmechuchumaa ili mjifunze kujisitiri na ukahaba! Yaani mie huwa sipati picha kufanya kazi guest, mashuka ningefua na gloves hadi kutandika kitanda pia!
Hivi huwa wanafanya wenyewe......au kuna mtu wa pili
natamani watangaze uchawi wa kukusanya mkojo wa mtu hata kwenye mchanga
ili watu waache kojoa ovyo ovyo
mimi nilidhani atasema wanazitumia wao wenyeweNilidhani utasema wanaziuza!