Mambo ya Guest Houses

kama vipi nenda na shuka yako tandika juu ya ile ya gesti:loco:
 
kwa nini usitumie guest house ambazo zina self contained rooms. ukimaliza unazi-flash chooni. hizoguest house za uchochoroni hukawii kufungiwa kamera chumbani ukawa hujui kama umeshakuwa porno star, watu wanaangalia clip zako kila kona ya mtaa.

Hahahahhahaa.umenigusa aaaiiiseeee
 
Afadhali wawaloge, tena wangeziloga zikakatika m-soo-soo mmechuchumaa ili mjifunze kujisitiri na ukahaba! Yaani mie huwa sipati picha kufanya kazi guest, mashuka ningefua na gloves hadi kutandika kitanda pia!

Halafu utumie didlo sijui nini vile...
 
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni

then inawasaidia je kama hatutasimamisha??
 
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni

Be scientific that will never be. kama wanauwezo wa namna hiyo kwa nini wasichukue hizo shahawa wakatengeneza pesa, mbona mnakuwa wepesi wa kuamini ushirikina.
 
Na kwa wanawake wanachukua nini? Au hili zoezi ni spesheli kwa wanaume tu
 
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni

Sasa huyo mwanaume akishindwa kusimamisha muhadumu atapata faida gani.
 
Za kwako zilichukuliwa?if yes kawaambie wakurudishie!
 
Duh. Hii mpya.
Sijawahi sikia kabla. Ndo naisoma hapa leo.

huyo mganga mpya naona waalibino ame Sepa kimezuka kitu kipya mwisho itakua shuka za Gest nazo Issue mjini shule sasa wizi washuka Gest Utaanza poleni
 
Mkuu Matola msaada kwenye tuta.
Hapo kwenye bold ndo mboga gani hiyo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Matola msaada kwenye tuta.
Hapo kwenye bold ndo mboga gani hiyo
Hiyo mikuku yenu iliyooza mnayokula steers inaitwaje? au vyakula vyenu vijana mnaita lunch box kuna nutrition gani mule za kusimamisha mashine?
 
Habar wandugu, nimepata taarifa eti wahudum wa nyumba za wagen huwa wanachukua shahawa wanazokuta mara baada ya wateja kutoka na kufanyia mambo inayosababisha mwanaume kushindwa kusimamisha uume je ni kuna ukwel kuhusu hilo swala asanteni
hlogeni kwangu bt ngoja niwasikilize wakuu
 
Haka kasred kazur ukizingatia nakasoma nikiwa hapa gest... Mambo yanayofanyikaga gest ni mengi na ukiwa na kinyaa sana hutalala wala kuoga gest... Hapa najikaza tu natumia taulo zao bila kinyaa, blanket, shuka nk kama vile hajawai lalaga mtu as long as zilifiwa na kuanikwa na kupigwa pasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…