Mambo ya Guest Houses

Kila m2 akipewa walau dakika 1 kuandika akiwazacho, 4 sure tutabaki bila mbavu, jf balaa
 
Nipo mamangu naona ulikua kwenye jukwaaaaa la kina Al...Maktoom kwa mfungo. Thats y tumekua tukipishana. Swaumu ilikuwa vipi au ndo unakamilisha Sita?
swaum ilikuwa nzuri! eid ndio usiseme nlitamani nayo iwe siku 30
 
wanachukua za kwenye condom ukitupa kwenye kidastibin,pigeni kavu wazee.
 
Haya ni maneno ambayo huwa tunawaambia vijana wadogo ili waogope kwenda guest house.
 
Mi nacho jua wahudumu wa g house ni hodari kwa kupaga chabo nakisha wanapiga nyeto.
 
Hiyo mikuku yenu iliyooza mnayokula steers inaitwaje? au vyakula vyenu vijana mnaita lunch box kuna nutrition gani mule za kusimamisha mashine?
Alas! Kumbe ndo jina lake? Sikufahamu hilo, asante kwa elimu.
By the way mie si mpenzi sana wa 'fast foods', ambazo nyingi ni za namna hiyo uliyotaja hapo juu
 
Mi nishazikuta mahali zimefuliwa na kuanikwa,tayari kwa ajili ya recycling hapo hapo guest house...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…