Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Hilp ni jukwaa la mahusiano na mapenzi unaingia tu hakuna kujiunga my dianaomba unisaidie jinsi ya kujiunga mmu mi huwaga nasikia tu
Wala sipendi kuona makucha marefu sababu najua mwanamke mwenye makucha marefu ni mchafu wa maungo yake ya uzazi.Sipaki chochote ,we wataka kucha ndefu una kazi gani nazo
Hahahahaha ndio zilivyo ziache basi kucha zangu hazijazifikia za diamond [emoji23][emoji23][emoji23]Wala sipendi kuona makucha marefu sababu najua mwanamke mwenye makucha marefu ni mchafu wa maungo yake ya uzazi.
Ila wee umezidi, izo kucha unatafunaga kila siku au??? Mweee ndo maana hupaki rangi eeh!! .
Kwani kuna cha ajabuAlafu mdogo mdogo mpaka kufikia 2020 timeshajua miguu yako, kiuno, sura ,kifua n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ok ok poaaa ....nmeziacha kucha zako mbaya[emoji23]Hahahahaha ndio zilivyo ziache basi kucha zangu hazijazifikia za diamond [emoji23][emoji23][emoji23]
DuuuuhG nimejichora kiunoni ntarusha jukwaa la wakubwa [emoji23][emoji23]
UlichorajeG nimejichora kiunoni ntarusha jukwaa la wakubwa [emoji23][emoji23]
Nzuri kucha zanguOk ok poaaa ....nmeziacha kucha zako mbaya[emoji23]
Mmmmh jamaaaaaNataka nikuchore kipepeo kunako mautam [emoji39] [emoji39]
nimeliona mkuu thanksHilp ni jukwaa la mahusiano na mapenzi unaingia tu hakuna kujiunga my dia
Hata mimi ninayo mbona... yaan namanisha kwa wasokujuua mama G[emoji23][emoji23]Kwani kuna cha ajabu
Sura ipo humu mbona
Karibu tenanimeliona mkuu thanks
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha mawazo ya kishetani
Wote wananijua maana sijifichiHata mimi ninayo mbona... yaan namanisha kwa wasokujuua mama G[emoji23][emoji23]
Anadandia fursaMmmmh jamaaaaa
Kweli banaa, labda upige picha vzur uiweke ...ila hapo zimeonekana mbayaNzuri kucha zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naongeza siku za kuishiUna genye wewe sio bure