Mambo ya hina

Mambo ya hina

Sipaki chochote ,we wataka kucha ndefu una kazi gani nazo
Wala sipendi kuona makucha marefu sababu najua mwanamke mwenye makucha marefu ni mchafu wa maungo yake ya uzazi.

Ila wee umezidi, izo kucha unatafunaga kila siku au??? Mweee ndo maana hupaki rangi eeh!! .
 
Alafu mdogo mdogo mpaka kufikia 2020 timeshajua miguu yako, kiuno, sura ,kifua n.k

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wala sipendi kuona makucha marefu sababu najua mwanamke mwenye makucha marefu ni mchafu wa maungo yake ya uzazi.

Ila wee umezidi, izo kucha unatafunaga kila siku au??? Mweee ndo maana hupaki rangi eeh!! .
Hahahahaha ndio zilivyo ziache basi kucha zangu hazijazifikia za diamond [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom