Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
- Thread starter
-
- #81
Hahahaahahahah cute b acha bana yaan mim mikono yangu ndio ilivyo ila sio mtotoBasi humu Mimi ndiyo mkubwa peke yangu .@mama Sabrina mbona tumkono tugogo kama twa mtoto. Melo aache kuruhusu watoto wajiunge huku jamani[emoji13][emoji13][emoji13]
Unaona weupe wa ajabumkuu tumejua wewe mweupe mwili mzima
AhahahahahaLmao! Bana ua utadhani kachora na mkono wa kushoto em mwambie kweli mwenzio [emoji3][emoji3][emoji3]
Napika ,nafua ,kama kipindi hiki nimefua nguo za bibi mpaka nikikunasa kofi utanitambua,Binamu haupiki wewe
nimeona mkono mweupe hapo sijaiona hina mieNimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi View attachment 823117
Hujaona michoro hapo wewenimeona mkono mweupe hapo sijaiona hina mie
sijaona walah zaidi ya mkono mlaiiiini na vidole vya kuvutia machoniHujaona michoro hapo wewe
Heheje utaua watu wewesijaona walah zaidi ya mkono mlaiiiini na vidole vya kuvutia machoni
Kwani ukiwa mweupe tu ndio unakuwa shombe shombe?kumbe Mama Sabrina
Ni shombe shombe sikuwa nikijua
Hiyo mkono wako nimegundua jambo, uko salama kweli??Nimejifanya fundi mweeee,,,nimekumbuka kipindi kile nipo mtoto najichora hina leo ndio kazi nimefanya hii kuchora majongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenye kujua kuchora anifundishe basi View attachment 823117
Jambo gani,umeanza kelele zakoHiyo mkono wako nimegundua jambo, uko salama kweli??
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jambo gani,umeanza kelele zako
Chichemi..[emoji7] [emoji7]Jambo gani,umeanza kelele zako
Wataka kujifanya mshana sasa hivi unitabirie mambo mabaya tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Andika hata kihindi wasioneChichemi..[emoji7] [emoji7]
Haya nimenyamaza.Wataka kujifanya mshana sasa hivi unitabirie mambo mabaya tu
Haya kanywe maji mengi ni mazuri kwa afya yakoHaya nimenyamaza.
Baridi sana huku..!Haya kanywe maji mengi ni mazuri kwa afya yako