Nikupongeze mkuu, you a hipster, una knowledge most people hawajafuatilia sana.
Kuna documentary niliangalia mwaka jana, kuhusu lean addiction inavyowatesa vijana wa Zimbabwe, wengi wao wapo kitaa baada ya masomo hawana ajira, na hii inawapelekea kuwa depressed sana, na kuchangia kujiingiza kwenye madawa hayo addictive.
Yaani ukipita mitaa ya Zimbabwe vijana wamepigwa doro tu, maana ukishapata stimu everything seems so slow, yaani kama kila kitu kinaenda slow motion.
Lean ni culture, huko USA, na ilianza kuwa mainstream zaidi huko Houston, Texas. Na hawa walevi wa lean wana special songs zao, zinaitwa Chopped and Screwed, zilizokuwa invented DJ Screw.
But mkuu, hichi kinywaji hutakiwi kuweka nusu chupa kwenye sprite yako, au robo tatu, kama ulivyomshauri mkuu
Citizen B kwa sababu unajiweka kwenye risk ya overdosing. DJ Screw alifariki kwa kuoverdose lean, Lil Wayne aliwahi kupata seizures na kulazwa kabisa mwaka 2012/2013 kama sikosei. Na majuzi tu hapa Msanii JuiceWRLD alioverdose na kufariki siku chache baada ya birthday yake.
So, kwenye mixing wanakuwa wanatumia baby bottle "chupa ya maziwa ya mtoto" ambayo inakuwa na vipimo kwa pembeni vinavyoandikwa kutoka kiwandani na hii huwasaidia kuepukana na kuoverdose.