toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Nikupongeze mkuu, you a hipster, una knowledge most people hawajafuatilia sana.
Kuna documentary niliangalia mwaka jana, kuhusu lean addiction inavyowatesa vijana wa Zimbabwe
Nikupongeze mkuu, you a hipster, una knowledge most people hawajafuatilia sana.
Kuna documentary niliangalia mwaka jana, kuhusu lean addiction inavyowatesa vijana wa Zimbabwe, wengi wao wapo kitaa baada ya masomo hawana ajira, na hii inawapelekea kuwa depressed sana, na kuchangia kujiingiza kwenye madawa hayo addictive.
Yaani ukipita mitaa ya Zimbabwe vijana wamepigwa doro tu, maana ukishapata stimu everything seems so slow, yaani kama kila kitu kinaenda slow motion.
Lean ni culture, huko USA, na ilianza kuwa mainstream zaidi huko Houston, Texas. Na hawa walevi wa lean wana special songs zao, zinaitwa Chopped and Screwed, zilizokuwa invented DJ Screw.
But mkuu, hichi kinywaji hutakiwi kuweka nusu chupa kwenye sprite yako, au robo tatu, kama ulivyomshauri mkuu Citizen B kwa sababu unajiweka kwenye risk ya overdosing. DJ Screw alifariki kwa kuoverdose lean, Lil Wayne aliwahi kupata seizures na kulazwa kabisa mwaka 2012/2013 kama sikosei. Na majuzi tu hapa Msanii JuiceWRLD alioverdose na kufariki siku chache baada ya birthday yake.
So, kwenye mixing wanakuwa wanatumia baby bottle "chupa ya maziwa ya mtoto" ambayo inakuwa na vipimo kwa pembeni vinavyoandikwa kutoka kiwandani na hii huwasaidia kuepukana na kuoverdose.
Nilisoma kayumba lakini niliyokuwa nayaobserve pale St Laurent Makonde Mbezi Beach yanafanana na hayo.
Last sentence haaa....
You can't make the scene if you don't have the greens- Jim Carrey in The Mask
Kiukweli hizo shule ni hatari...nakumbuka kwa mara ya kwanza tumepelekwa IST kupitia shirika la Root and Shoot tukiwa primary yaani tulikuwa tunashangaa kila kitu......
Washajua kupitia wewe
Hahaaa
Nadhani kwa Tanzania Cough syrup zenye codein zimepigwa ban pia, lean is somethibg else inakufanya unakuwa zombie
Top in DSM yupo JF mkuu, umeuza ramani ya vitaOkay,
Ingredients
1.ice cubes/blocks vile tunawekaga kwene JD
2. Sprite
3. Hard candies zipo everywhere
4 cough cyrup yenye codeine
How to mix the ingredients,
1. Chukua Ice Blocks weka kwa glass yako,
2. chukua sprite tumbukiza nusu ya ile spite ya buku
3. Tumbukize zile candy zako( They are the sweetener)
4. Then weka dawa yako nusu ya kile kichupa cha dawa ya mafua au robo tatu, yan we zidisha the normal dosage utaona matokeo, ila ni very addictive sababu ni Tamu sana mkuu hiyo kinywaji.
Alafu changanya changanya ili yale mapipi yayeyuke yeyuke mzee ndio utamu wenyewe then unaweza ukaanza kunywa.
NB: People in Zim wanadrink ile dawa kavu kavu sababu dawa ya mafua ile ukiinywa nyingi ndio unasizi, hiyo dawa imewavuruga sana mateja wa Zim mkuu....mpaka serikali haiuz ile dawa hovyo hovyo, mateja wa bongo hawajajua kama ile kitu inalewesha wakijua tumekwisha
Top in DSM yupo JF mkuu, umeuza ramani ya vita
Soma uelewe
Si kidogo.Walimu siku hizi wana kazi sana.
Aisee ndio umenifumbua macho, was there one day nikawa sielewi elewi nikahisi labda ni ushamba wangu tu[emoji2297][emoji2297]Mikadi ni beach ya watoto wa uswazi..
Mainly wanatoka Mbagala
Wengi hata shule sijui kama wanasoma..
Wanaendaga na mabasi na makelele
Na bodaboda wamepanda watu sita..
Wengi hufa barabarani pia
party ijayo naomba mualiko niwalatee kitu cha Olkokola
Ndio zimekatazwa kabisa, dawa zanye codeine zipo za vidonge tuu...lean hatari sana ni sema bongo hawakuifahamu vizuri mwanzoniIvi wamepiga ban na huku ? itakuwa msg wamekatazwa kuzileta, nakumbuka kuna hadi kile kiwanda cha hizo dawa kule South America walistopishaga production sababu watu walikuwa wanaitumia abusively...Mzee ile kitu ni noma, unasizi yan unakuwa upo kama haupo mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]