Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Kwa dunia ya sasa uwezi kuona mambo kama haya nchi zinazotazama mda na watu wake mkizunguka mikoani leo chama fulani mgombea uraisi yupo wapi sijui mwengine yupo wapi.
Vyombo vya habari vipo vingi ambavyo vitaweza kutoa habari ambayo itakuwa mubashara na wasiopata mda wataweza kupata marudio kupitia sehemu mbali mbali.
Debate hizi za wagombea zinatakiwa wahusika ambao ni wanaotarajia kuwa uraisi na wabunge na wadau pamoja na wananchi wenye kuwapiga maswali kama wafanyavyo wenzetu.
Tuache kupoteza pesa kuita wasanii,magari ya polisi,kulazimisha watu kuwatoa mbali na kufanya haya ya amos makala kama endapo angekuwa amesema lile tamko lake basi ingekuwa aibu kwake.