rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,420 May 16, 2011 #1 mbona kelele zilikuwa nyingi sana kuhusu mambo ya katiba mpya?mbona mambo yamekuwa kimya ghafla?au ilishatengenezwa?
mbona kelele zilikuwa nyingi sana kuhusu mambo ya katiba mpya?mbona mambo yamekuwa kimya ghafla?au ilishatengenezwa?
pangalashaba JF-Expert Member Joined Jan 10, 2011 Posts 1,301 Reaction score 1,579 May 16, 2011 #2 ile single ilishachuja,si unajua tena bongo kwa kutoa single. sasa hv magamba ndo inaheat!
F FredKavishe JF-Expert Member Joined Dec 4, 2010 Posts 1,090 Reaction score 318 May 16, 2011 #3 Hi ndo tz bana babu loliondo alisaidia sana now magamba na ccj ya nape hii nchi ni kufikirika kweli