Mambo ya kiharamu huisha kiharamu, wauwaji na watekaji mkae mkijua

Mambo ya kiharamu huisha kiharamu, wauwaji na watekaji mkae mkijua

Mr Kipara

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
601
Reaction score
1,079
Chondechonde mmnaopewa maagizo ya kupoteza, kuuwa,kutesa wenzenu kwa kisingizio cha kulinda Dola, tambueni hata ninyi hampo salama.

Hivi wewe hujiulizi, mtu akuagize ukatoe roho ya Binadamu mwenzako na wewe unakubali, unadhani anakuchukuliaje?

Wewe ni mnyama kiasi kwamba hata yeye hayuko salama, kwahiyo ukimaliza kazi yake hata wewe atakumaliza.
 
Back
Top Bottom