Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Daio
Diamond naye Baba mtu mzima na heshima zake. Siyo teenager!Mimi mnazi wa hawa watu ila nimeanza kuona wana tatizo siyo bure japo ni maisha yao ila wameayafanya yajadiliwe kwa upupu wanaoufanya.
Duh kweli diamond siyo mchezo kamfanya mama mtu mzima na heshima zake zote amekuwa ka ki lyn cha huko kwetu