Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kinaashiria urembo
No no no. Kinaashiria mvaaji 'anapiga miguu yote yote kama Ronaldoooo'
.........wanaseme eti TIGO ruksa.Kwa wenye uzoefu p'se natamani kujua hasa kunani pale?
Tuhabarishe mkuu mguu wa kulia ukivikwa kikuku ina maana gani na kama ni wa kushoto ina maana gani pia?inategemea na mguu mkuu,
kila mguu na maana yake
.........wanaseme eti TIGO ruksa.
.........wanaseme eti TIGO ruksa.
hakuna kitu kama hicho huu ni urembo tu na kama ukifuatilia mila na tamaduni mbalimbali wanavaa ni design tu zimepishana na ni urembo zaidi lakini miaka ya kati hapo wajuaji wa tanzania wakaanza kumaanisha hivyo sisi ni maarufu wa kuharibu asili ya vitu.na kwanini watu wengi wamejawa na fikra za kizinzi tu muda wote>?kwanini usifikirie labda hii ni mila ya kabila gani au originality?i hope mtoa thread hakumaanisha huku watu wanakojibu:A S angry:
Mkuu kufumuliwa marinda ndio nini?maana yake ushafumuliwa marinda easy come easy go!