Mambo ya Kimungu husimuliwa Kimungu na hujadiliwa Kimungu

Mambo ya Kimungu husimuliwa Kimungu na hujadiliwa Kimungu

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
Popote pale uionapo mada inayowahusu watu wa Mungu usitumie akili yako bali tumia akili itokanayo na Mungu.

Tumekuwa wakurupukiaji wa mada sana hasa kuzogoa na kuwasema vibaya watu wafanyayo kazi ya Mungu.
Ushauri wangu kwetu sote. Jambo la KIMUNGU HUTATULIWA KIMUNGU.

ASANTE KAMA UMENIELEWA. niliyekuchanganya pole ikufikie
 
Back
Top Bottom