Mambo ya kiroho!! Roho ni nini?

Roho ni uzima ulio nao ambao hauonekani, ukifa hiyo roho inaenda kuungana na roho nyingine katika ulimwengu wa roho. Wanaosema wanaona ni uwongo labda ndoto tu. Kuona inabidi ufe, nani atakubali kufa?
Kama ni kitu kisichoonekana na kinafanya kazi kwenye ulimwengu huu (physical universe) basi ni lazima kina maelezo. Hata upepo hauonekani lakini properties zake zinapimika and they are detectable!!
 
Wakristo hawana elimu ya roho. hata che,mbe, wana uchqawi tu.

Ukitaka kuijuwa elimu ya roho kiukweli waulize Waislam wenye elimu ya Uislam.
 
Wakristo hawana elimu ya roho. hata che,mbe, wana uchqawi tu.

Ukitaka kuijuwa elimu ya roho kiukweli waulize Waislam wenye elimu ya Uislam.
Ndio humo yanaingia matapeli na kupiga pesa. Eti mambo ya kiroho. Pambaf na nusu.
 
Roho ni chaka la kuungaunga la kufichia uongo.

Hakuna roho.
 
Roho ni chaka la kuungaunga la kufichia uongo.

Hakuna roho.
Nadhani labda inaweza kuelezeka katika anga za quantum physics kama wengine walivyojaribu kuelezea Yesu kuingia ndani ya nyumba iliyofungwa milango kuwa ni mfano wa quantum tunnelling. Au kitu kuwa sehemu mbili kwa wakati mmoja kama ni quantum superposition? Hawa wahubiri hawana majibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…