Mambo ya kishirikina/kichawi ambayo sikutakiwa kukuambieni

Mkuu inabidi uandike kitabu chako..
 
Nimebwagana na she mmoja hapa...
Ila nimeacha boxers zangu kwake..
Vp anaweza piga counter attack
 
Ila mkuu ile ya kitunguu saumu naenda itest kama nilivyo testi chumvi ikawa na mafanikio makubwa i hope wewe ni nabii fulani kwa zama zetu.
Kaitumie usii test utaona maajabu
 
Dah nyuzi imenikumbusha aina ya nyuzi zilikuwa zinabamba nilipoongia JF 2016 kwa mara ya kwanza.

Nimetoa chozi miaka 10 sasa imekata kiutaniutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…