Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
😹😹😹 Hizi pic unazitoaga wapi?Ngoja nitest mitamboView attachment 3685733
😹😹😹 Hizi pic unazitoaga wapi?Ngoja nitest mitamboView attachment 3685733
Mi nahisi nimefanywa hivi
Ufe umuachie nani madeni unayodaiwa kausha damu?Kaka mshana, ebu loga nife leo kama una uwezo
😂😂uchawi wa kishua huu,
yaani kuroga mpaka uwe na friji!
Mwenyewe bado sijaifanya.Kaka ile ya kitunguu saumu bado sijafanyia kazi, ya glass kurudisha kilicho potea bado , leo kuna vingine tena!
Kwenye database ya Kilingeni😂Ngoja nitest mitamboView attachment 3685733
Nachomokaje hapo.Kafara baya Sana hilo
Nakuwa naoga kila siku?For how long?Tumia tiba ya chumvi
Nakuwa naoga kila siku?For how long?
Chumvi inasaidia sana, ila watu hudhani mzaha, nami nataka nianze kunitumia kujitakasa.
- 1. Usisafishe mikono yako kwa asali na chumvi dakika chache kabla ya mtoko wa kimapenzi (date),
Chumvi huondoa uzito wa siku nzima kwenye ngozi yako, na asali huacha utamu ambao watu wataugundua hata wakiwa mbali kidogo nnawe- 2. Ili uache kumlilia mtu asiyekulilia, chukua chembe moja ya kitunguu saumu na uache machozi yako yadondokee juu yake. Kisha kizike kwenye sufuria ya maua au uwanjani na unawe mikono yako.
Kilio kinabaki kwenye udongo, si ndani yako.- 3. Ili utengane kabisa na mtu ambaye ni mbaya kwako, weka zawadi ya mwisho aliyokupa kwenye jokofu (freezer). Iache huko ndani kabisa, kwenye barafu.
- Kinachopoa huko ni hamu yako mwenyewe ya kutaka kurudi kwake.
- 4. Usiache kiti kikiwa wazi kwenye chumba chako cha kulala. Kiti kilicho wazi ni nafasi inayoalika, na chumba chenye mwaliko ulio wazi hakipumziki .
Kama kiti kinapaswa kuwa wazi basi acha mmea wowote kwenye vase ukae juu ya kiti hicho: kiti kilichokaliwa hakina tena nafasi mwaliko.- 5. Kamwe usitamke maneno yako ya ulinzi kinyumenyume.
Neno lililotamkwa kinyume hufumua kile kilichoshonwa mwanzo. Ukichanganyikiwa katikati, acha, vuta pumzi, na uanze tena upya tangu mwanzo.- 6. Kula ukiwa unaangalia kioo hukilisha kioo chenyewe. Vioo navyo hupata njaa, na kile unachokula vinatamani kula pia, kidogo kidogo kwa kila mlo.
Unapoandaa meza, weka kitambaa juu yake na kikiache hapo mpaka sahani ya mwisho itakapoondolewa.- 7. Watu ambao hawana bahati katika mapenzi mara nyingi wanaishi maisha yao ya mwisho ya kuzaliwa tena duniani (last incarnation).
Roho inarudi tu kumalizia yale yaliyoachwa bila kukamilika katika maisha mengine, hivyo mapenzi huja, yanafundisha, na kuondoka haraka bola taarifa wala dalili.- 8. Kama wewe ni jinsia ya kikeni, Ili ujisikie mrembo na mwenye kujiamini, sema hivi kila usiku unapokuwa kitandani:
"2918, naamilisha nambari takatifu ya urembo na ufanisi."
Sema polepole na ulale bila kushika simu yako tena.- 9. Mshukuru mgeni kwa kujitolea kusaidia kazi za ndani, lakini muweke mbali na sinki lako la vyombo.
Mikono ya nje kwenye maji yako ya vyombo huondoka na kidogo cha bahati na amani inayoishi nyumbani kwako, na huacha nishati yao wenyewe nyuma. Kama likitokea, futa sinki kwa maji ya chumvi mara tu anapoondoka.- 10. Unapoingia mlangoni, usiweke funguo zako juu ya meza.
Meza ndipo palipo na wingi wa baraka, na funguo zilizoachwa hapo huiambia nyumba kwamba kila kitu kiko njiani kuondoka, pamoja na mafanikio yako. Ziweke kwenye bakuli dogo karibu na mlango, maalum kwa ajili yake tu.
Je Buddhism ili kusaidiaje leo unaona hakuna nguvu yoyote katika higher power?Hapana. Huyu mlozi tu.
Mimi nilijifunza Buddhism.
Higher power ndiyo nini mkuu, maana mtu mwingine anaweza kukuambia hata jua ni higher power, linatoa solar power na lipo high in the sky.Je Buddhism ili kusaidiaje leo unaona hakuna nguvu yoyote katika higher power?
The very thing that brought everything into existenceHigher power ndiyo nini mkuu, maana mtu mwingine anaweza kukuambia hata jua ni higher power, linatoa solar power na lipo high in the sky.
How do you know that there is such a thing, and that this is not just a fancy idea with no roots in reality?The very thing that brought everything into existence
Asante broNipende kwanza kujivunia kwa mada ya tiba mbadala ya chumvi ... Sijivunii kwa wingi wa wachangiaji la hasha bali kwa mada husika kuwa msaada mkubwa kwa wengi mno... Tiba ile imewasaidia hasa kwenye
Kutopatwa na mauzauza tena
Kuota ndoto mbaya na za kuogofya
Kupata usingizi mororo
Kukingwa na nguvu hasi za kiroho
Kusafisha nyota zilizofifia
Kutakasa miili iliyokuwa imechafuliwa
Kuboost CD4 za kiroho
Kuleta mvuto
Kuondoa uchovu na kuleta uchangamfu, furaha na amani mioyoni
Baada ya hapo ilifuatia mada ya mrejesho : yatokanayo na tiba mbadala ya chumvi hii ilikuwa maalum kwa...
- Mshana Jr
![]()
- Replies: 357
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
ShukranAt least 30 days