Mambo ya kishirikina/kichawi ambayo sikutakiwa kukuambieni

Nakuwa naoga kila siku?For how long?
 
Chumvi inasaidia sana, ila watu hudhani mzaha, nami nataka nianze kunitumia kujitakasa.

Mshana ngoja nijaribu mambo kadhaa uliyo ya andika hapa.
 
Je Buddhism ili kusaidiaje leo unaona hakuna nguvu yoyote katika higher power?
Higher power ndiyo nini mkuu, maana mtu mwingine anaweza kukuambia hata jua ni higher power, linatoa solar power na lipo high in the sky.
 
Higher power ndiyo nini mkuu, maana mtu mwingine anaweza kukuambia hata jua ni higher power, linatoa solar power na lipo high in the sky.
The very thing that brought everything into existence
 
Asante bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ