Mambo ya kisiasa yanayoendelea humu nchini ni moja kati ya vikwazo kwangu endapo tu nikiyapa muda wangu

MtotoKautaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2018
Posts
373
Reaction score
895
Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa kujitengenezea ili niwe katika Ari nzuri ya kujipambania.

Katika kufanya research yangu ndogo nikaona kabisa mambo ya kisiasa yanayoendelea humu nchini ni moja kati ya vikwazo kwangu endapo tu nikiyapa muda wangu kuyafatilia kwani yangeniharibu kisaikolojia na ningebaki mtu wa kulalamika tu.

Infact hii hali ya kisiasa tuliyonayo nchini ni ya mpito, things will turn around na mambo yatakuwa sawa ni matter of time.

MAAMUZI NILIYOCHUKUA.

Niliona kuna haja ya kujiweka mbali na siasa, yani kusiwe na mazingira ambayo yatanifanya niwe najipata nipo karibu na siasa.

1. Nilianza na vijiwe navyopendelea kukaa, nikakata mguu kufika katika vijiwe ambavyo vinazungumzia siasa almost muda wote nikahamia vijiwe vingine.

2. Hapa jukwaani niliwa-ignore watu wote ambao wanashusha threads za siasa Ili kupunguza on-line interactions with political issues

3. Kwenye mitandao mingine ya kijamii niliwa-unfollow na ku-unsubscribe channels zote ambazo zinapakia mambo ya kisiasa, sitaki kitaja ni akina nani ila wanajulikana

4. Niliwa-unfollow wasanii wote (waigizaji, wachekeshaji, waimbaji) na ku-unsubscribe channels zao pamoja na watu mashughuli wakiwemo watu wa dini wanaoonyesha kujikita katika maswala ya kisiasa Kwa namna yoyote ile na kubakiza wale ambao ni neutral.

Kwa hayo machache naweza sema nimeona impacts kubwa sana kwani akili yangu imekuwa free from political poison na nikiingia online Kwa zaidi ya asilimia 90 ni habari zingine tofauti na siasa na hii imenisaidia sana.

Ahsanteni!
 
Mods msiufute huu uzi hauna uchochezi wala offensive contents, ni ushauri Kwa vijana wenzangu.

Na hivyo ndivyo ccm wnaavyotaka mkate tamaaa kusiwepo na mobilisation yoyote ya mabadiliko wabaki wanatawala kama Rwanda
 
Ukitaka kuishi Kwa furaha na amani nchi hii ya Tanzania jitoe akili,lakini ukiwa na akili timamu utapata taabu sana!
Tanzania unatakiwa uwe mtu wa mipira, kubeti, stori za ngono na mapenzi, na upuuzi upuuzi tu.

Hata hivyo hali yako ya kimaisha itaendelea kuwa mbaya huku promoters wa huo upuuzi wana neemeka kupitia kukupumbaza wewe.
 
Siasa ina manufaa kwa wale waliotengenezewa njia tayari, sisi wengine washangiliaji wa siasa, hatunufaiki na chochote zaidi ya kuwa ngazi tu.​
 
Mimi kama kijana mwenye ndoto zangu binafsi, mwenye maisha ya hali ya kawaida, mwenye mambo kibao ya msingi ambayo nahitaji kuya-achieve nilikaa chini na kufikiria ni mazingira gani natakiwa kujitengenezea ili niwe katika Ari nzuri ya kujipambania.

Katika kufanya research yangu ndogo nikaona kabisa mambo ya kisiasa yanayoendelea humu nchini ni moja kati ya vikwazo kwangu endapo tu nikiyapa muda wangu kuyafatilia kwani yangeniharibu kisaikolojia na ningebaki mtu wa kulalamika tu.

Infact hii hali ya kisiasa tuliyonayo nchini ni ya mpito, things will turn around na mambo yatakuwa sawa ni matter of time.

MAAMUZI NILIYOCHUKUA.

Niliona kuna haja ya kujiweka mbali na siasa, yani kusiwe na mazingira ambayo yatanifanya niwe najipata nipo karibu na siasa.

1. Nilianza na vijiwe navyopendelea kukaa, nikakata mguu kufika katika vijiwe ambavyo vinazungumzia siasa almost muda wote nikahamia vijiwe vingine.

2. Hapa jukwaani niliwa-ignore watu wote ambao wanashusha threads za siasa Ili kupunguza on-line interactions with political issues

3. Kwenye mitandao mingine ya kijamii niliwa-unfollow na ku-unsubscribe channels zote ambazo zinapakia mambo ya kisiasa, sitaki kitaja ni akina nani ila wanajulikana

4. Niliwa-unfollow wasanii wote (waigizaji, wachekeshaji, waimbaji) na ku-unsubscribe channels zao pamoja na watu mashughuli wakiwemo watu wa dini wanaoonyesha kujikita katika maswala ya kisiasa Kwa namna yoyote ile na kubakiza wale ambao ni neutral.

Kwa hayo machache naweza sema nimeona impacts kubwa sana kwani akili yangu imekuwa free from political poison na nikiingia online Kwa zaidi ya asilimia 90 ni habari zingine tofauti na siasa na hii imenisaidia sana.

Ahsanteni!
Kususa haijawahi kuwa dawa ,hapo ni sawa na kufungua bucha na kumwachia fisi.Taifa ni letu tukomae nalo hadi tutajapo liacha mikononi mwa wengine ili wasukume gurudumu.
 
Sijasusa ila nimeamua kujiweka mbali na poisonous issues
 
Back
Top Bottom