Mambo ya kukumbukwa aliyofanya Hayati Dkt. John Magufuli

Asante kwa kumbukizi ya nyongeza, ubarikiwe sana maana ni wachache tunaweza kuusema ukweli huu, wengi wanaongea kinafiki na kupotosha huku mambo kama haya wakiyaficha au kuzuia kabisa yasisemwe hadharani
 
Katika mambo aliyofanya Magufuli ni upimwaji wa viwanja kwa wingi, huu umepunguza rushwa katika upatikanaji wa viwanja. Viwanja vilivyopimwa vinavyouzwa bei ya serikali ni vingi. Ukitaka makubwa labda utake sehemu iliyokwisha changamka.
1. Kutenganisha wizara ya nishati na madini
2. Kuondoka service charges ya tanesco kila mwezi tulikuwa tunakula 6,000 per meter
3. Kuanzishwa mfumo wa malipo ya serikali kupitia control number
4. Elimu bure
5. Kuhamisha makao makuu ya nchi kwenda dodoma
6. Kufuta vyuo vikuu vyene kutoa elimu ya hivyo.
7. Matajiri kuishi kama mashetani
8. Kufuta ukoo uliokuwa unakiliki ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…