Mambo ya kushangaza katika mapenzi,je wewe umeshangazwa na lipi?

Mambo ya kushangaza katika mapenzi,je wewe umeshangazwa na lipi?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] siku yangu imeanza rasmi hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]i hope imeanza vizuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tanzania ni sheria kwa mwanaume kumpa hela mwanamke... yani mpe hela we mpe hela tu utapewa kila aina ya sifa

-una kamgegedo inchi 6.5 ila utaambiwa bby una muhogo wa jang'ombe

-una kitambi cha bia za 1000 utaambiwa bby napenda six packs zako

-unapiga viwil vya kichovu atafeki orgasm na akwambia unampa best sex ever

-una sura ya kisenegal utaambiwa bby we handsome

-ukipiga chafya utaambiwa bby napenda chafya yako

yani we mpe hela tu kwa wingi..

inanishangaza sana hii
Mpe pesa, muongeze pesa, mtumie tena pesa, ni pesa tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3] sawa amu

Itanibidi nitafute mwanamke mwenye chura nione kweli yaliyo yamo au bora flat screen....

Nitaleta mrejesho maana hata michepuko yangu huwa ni slim...
mzee baba " chura acha tu " mkuu"... mkeo akiwa " vizuri upstairs" then ana utu" upendo" na mtafutaji" then na chura anayo" Hapo inakuwa umepata vyote"", na watoto wamjini tunasema( BINGO)
 
hahaaa " ati kiungo chake kilikuwa kinachachawa" kinapenda kuruka ruka juu na chini"", siaseme" tu kilikuwa kinapwita
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiri huo mrejesho kwa hamu, ila usisahau kichocheo ni mahelaaa
usiwaze kuhusu mrejesho... nimeshapanga hadi mbinu..

hyo siku tukiwa room tumeshavua naingia kwa wallet then nampiga kama 250k alafu ndio navaa condom alafu namuuliza imekaaje hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ akisema umependeza bby naleta mrejesho fasta
 
usiwaze kuhusu mrejesho... nimeshapanga hadi mbinu..

hyo siku tukiwa room tumeshavua naingia kwa wallet then nampiga kama 250k alafu ndio navaa condom alafu namuuliza imekaaje hii [emoji23][emoji23][emoji23] akisema umependeza bby naleta mrejesho fasta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki nimecheka

Hakika itaweza sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aki nimecheka

Hakika itaweza sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
tanzania ni sheria kwa mwanaume kumpa hela mwanamke... yani mpe hela we mpe hela tu utapewa kila aina ya sifa

-una kamgegedo inchi 6.5 ila utaambiwa bby una muhogo wa jang'ombe

-una kitambi cha bia za 1000 utaambiwa bby napenda six packs zako

-unapiga viwil vya kichovu atafeki orgasm na akwambia unampa best sex ever

-una sura ya kisenegal utaambiwa bby we handsome

-ukipiga chafya utaambiwa bby napenda chafya yako

yani we mpe hela tu kwa wingi..

inanishangaza sana hii
Mkuu Nimekuelewa sana aisee.....

Wanawake wengi wa kiafrika wewe weka pesa mezani usiongee sana....
 
Mkuu Nimekuelewa sana aisee.....

Wanawake wengi wa kiafrika wewe weka pesa mezani usiongee sana....
na hii inaanzia kwa wazazi... demu akienda kwao na kusema nimepata mtu anataka kuja kujitambulisha swali la kwanza ataulizwa anafanya shughuli gani?

hapo neno shughuli gani limekaa kimtego ila kinachoulizwa hapo ni kuwa ana pesaaaaa?

sasa hii imeingia kwenye DNA za dada zetu wenyewe ni pesa tu....

kuna mademu nimewahi kudate nao bila kutongoza yani nimemtoa outing mbili tatu

siku ya nne namrudisha kwao kabla hajashuka kwenye gari ile kuagana nampelekea lips kumkiss kajaa

basi yani automaticaly tumeanza kudate πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ situmiagi nguvu kabisa ya kutongoza nikishaona naweza kukupata kwa kanuni ya materials naachaga kanuni ifanye kazi
 
mambo ayooo
 
Attachments

  • IMG_20180811_142227.JPG
    IMG_20180811_142227.JPG
    16.7 KB · Views: 24
Back
Top Bottom