Mambo ya kushangaza kuhusu anga yatakayo tokea Tanzania mwaka 2026

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,386
Reaction score
2,833
Mwaka huu 2026 kutatokea matukio mbalimbali ya kushangaza kuhusu Anga Yenye kuvutia Machoni na kushangaza.

Utaweza kukutana na mambo mbalimbali kama vile Mwezi kubadili kuwa mwekundu, kutokea Giza la ajabu ulimwenguni, nyota zote kupotea matukio haya yataweza kujitokeza mwaka huu 2026.

🔺 Machi 3, 2026 itakua kivutio kikubwa Mwezi utakua mwekundu wakati wa kupatwa Kwa Mwezi.




🔺 Mwezi Mei 2026 Mwezi pia utabadilika na kuwa blue Moon.


🔺 Januari itakua Mwezi wa Mbwa Mwitu (Wolf Moon) angalia picha zaidi 🫵.


 

Attachments

  • 7_20260101_081845_0006.png
    1.3 MB · Views: 38
  • 3_20260101_081845_0002.png
    1.1 MB · Views: 33
Wala sio ajabu ,kama unafuatilia astrology hivi vitu ni kawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…